"Majukumu makubwa ya PASS Leasing ni kuhakikisha kuwa, vijana na wajasiriamali wote kwenye sekta ya kilimo, ufugaji, na uvuvi wanawezeshwa kuweza kumiliki zana na mashine za viwanda vidogo." Mkurugenzi Mtendaji wa PASS Leasing, Killo Lussewa ktk hafla ya utoaji zana kwa vijana.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Patrobas Katambi (wanne kutoka kulia) akikabidhi kifaa cha umwagiliaji kwa vijana wajasiriamali wakati wa hafla ya kukabidhi zana za kilimo biashara kwa vijana 50 mkoani Iringa.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Patrobas Katambi (watatu kutoka kulia) akikabidhi kifaa cha ufugaji kwa vijana wajasiriamali wakati wa hafla ya kukabidhi zana za kilimo biashara kwa vijana 50 iliyofanyika mkoani Iringa.
PASS Leasing imetoa zana kwa vijana wajasiriamali 50 wanaofanya shughuli za uzalishaji katika mnyororo wa thamani wa kilimo, ufugaji, uvuvi, na viwanda mkoani Iringa. Uwezeshaji huu umefanyika kupitia Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania β TWCC mkoani Iringa.
Bodi ya Wakurugenzi, Uongozi na Wafanyakazi wa PASS Leasing Company Ltd wanawatakia Waislam na Watanzania wote amani na furaha katika kusherehekea Sikukuu ya Maulid.
Tunatoa fursa ya kuboresha mradi wako wa kilimo biashara na kupata faida zaidi kwa kukupa zana za kilimo, ufugaji, uvuvi, misitu, na viwanda bila kuweka dhamana yoyote, na kwa masharti nafuu sana. Kwa taarifa zaidi, Piga Simu Bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa.
Tuna furaha kubwa kukuhudumia na kuona unakua kupitia huduma zetu za utoaji wa zana za kilimo, ufugaji, uvuvi, misitu na viwanda.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - Saa 11:00 jioni.
Kutana na Mjasiriamali wa mazao ya misitu kutoka Arusha, aliyewezeshwa na Kampuni ya PASS Leasing na kufanikiwa kupata mashine ya kwenye kiwanda chake cha kuchakata mbao. Alikuwa anapata mbao 100 kwa siku, baada ya kuwezeshwa mashine anaweza kupata mbao 200 kwa siku.
Mawasiliano ya Haraka na Salama: Huduma zetu zinaendana sambamba na kasi ya teknolojia! Tunahakikisha unapata msaada wa haraka na salama.
Tupigie na tukuhudumie kwa ufanisi.
Piga Simu Bure: 0800 750 037 Kuanzia: Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - saa 11:00 jioni.
#BusinessInsider PASS Leasing is making a Big Impact! ambitious plan to invest 90 billion TZS by 2027. This investment aims to provide Tanzanian farmers with 2,100 tractors and other essential machinery, enabling them to embrace modern farming practices.
Kituo cha Huduma kwa Wateja: Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo kwa ajili ya kujibu maswali yako na kukupa msaada unaohitaji.
Tuko hapa kwa ajili yako!
Piga Simu Bure: 0800 750 037 Kuanzia: Jumatatu - Ijumaa, Saa 2:00 asubuhi - saa 11:00 jioni.
βWajasiamali wanapata zana za kilimo bila kuweka dhamanaβ Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya PASS Leasing, Killo Lussewa, akielezea kuhusu huduma ya ukodishaji zana za kilimo, ufugaji, uvuvi, misitu na viwanda kwa wajasiriamali wa kilimo biashara.
Piga Simu Bure: 0800 750 037
Tunatoa zana za aina zote za kilimo (mnyororo wa thamani) zenye gharama ya kuanzia laki 5 hadi milioni 10 zitakazo kuwezesha kukuza zaidi uwekezaji wako. Utafanya malipo kidogo ya awali, na hautaweka dhamana yoyote. Piga Simu Bure: 0800 750 037 Kuanzia: Jumatatu - Ijumaa.
Tunajivunia kukuwezesha kumiliki zana bora za kilimo na viwanda kutoka kwa wadau wa uuzaji na usambazaji za zana hizo. Asante kwa kutembelea Banda letu kwenye Maonesho ya Nane Nane - 2024 Dodoma na Mbeya.
Piga simu bure: 0800 750 037 kuanzia Jumatatu - Ijumaa.
"Uwezeshaji huu utakwenda kuongeza uzalishaji kwa mashamba zaidi ya ekari 4000, ajira zaidi ya 65 na kuwafikia wanufaika 700 kwa kipindi cha msimu mmoja." alisema, Mkurugenzi Mtendaji wa PASS Leasing, Killo Lussewa wakati wa hafla ya kukabidhi zana za kilimo.