May 29 kila mwaka ni siku ya Kuadhimisha siku ya "Walinda Aman wa Umoja wa Mataifa " UN Peacekeepers Day lengo ni kuadhimisha mchango wa walinda amani na kutambua mchango wa watu waliopoteza maisha wakiwa kwenye majukumu hayo.
Mei 29, 1948 operesheni ya kwanza ilianza kazi