@YoungAfricansSC Ni huzuni na masikitiko sana: goal la mpinzani salama ila la kwetu mlango ulio wazi. Mbele butu na ulinzi F
Bench la ufundi hmm hata uapangaji wa kikosi🤔 afu sijui kama video analysis anatimiza majukumu__ Maarifa..maudambwi..techniques hakuna kabisa
NB: chonde makombe ya ndani
@Tanzania3039@YoungAfricansSC Malipo yamekamilika kwenda Young Africans SC, Kiasi Tsh20,000. Salio jipya ni Tsh . Ada Tsh 0. VAT TSh 0. Kumbukumbu no.25045860019. 01/03/23 21:00.
Kumbe tuko wengi!!
Bahati mbaya zaidi inanigomea tokea kipindi hicho (March) hadi sasa na bado hakuna solutions 🤦🏽♀️ 💰
@AliKamwe Kutokana na maisha binafsi kubadilika hususani utafutaji rizki watu hubadili makazi:
Swali: Vipi kuhusu tawi la mwanachama/shabiki kubadilika??