Watanzania tuwe makini na watu wanaovamia movement then mnawapa attention then baadae wanawasaliti na kuwa demoralize kwenye kudai.
Tuache kutoa kiki kwa watu ambao tunajua hawana historia yoyote ya uanaharakati zaidi ya kutafuta attention kwenye social media. Msikubali kutumika na washenzi kukuza majina yao then wanawageuka. Hili kosa mmeshafanya mara nyingi. Lisirudiwe tena.
HUU NDO UJUMBE WANGU AMBAO NIMEMTUMIA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA, JENERALI JACOB MKUNDA.
👇👇👇👇
Kwako CDF Mkunda,
Ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya.
Wewe unaitwa Mkuu wa Majeshi Tanzania kwasababu majeshi yote nchini yapo chini yako kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tanzania.
Jeshi lenu linaitwa Jeshi la Wananchi sio Jeshi la Rais wala Serikali kwasababu moja kati ya majukumu yenu ni kulinda Uhuru wetu, kulinda Usalama, na mipaka ya nchi yetu.
Kabla ya Oktoba 29, kuna Wanajeshi kutoka nchi ya Uganda waliingia Tanzania, taarifa zilisambaa kila kona lakini wewe na vikosi vyako vyote mlikuwa kimya licha ya kwamba ulikuwa unajua kuwa kuna uwepo wa Jeshi kutoka Uganda na unajua Katiba ya Nchi hairuhusu jambo kama hilo.
Oktoba 29, tulipoteza Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi ambao waliuwawa kwa risasi na waliofanikisha mauaji hayo ni Jeshi la Polisi, TISS, KMKM na Wanajeshi mamluki kutoka Uganda.
JWTZ mmeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu ndo maana Wanajeshi kutoka nchini Uganda waliingia Tanzania kwa msaada wa Jeshi la Polisi Tanzania, na wakapewa majina feki na bunduki ili wauwe Watanganyika wenzetu, mamluki kutoka Uganda, TISS, KMKM, Polisi na baadhi ya Wanajeshi wako walishirikiana kikamilifu kuwamiminia risasi ndugu zetu bila hata chembe ya huruma.
JWTZ mmeshindwa kulinda usalama wetu na usalama wa nchi yetu ndo maana kabla ya Oktoba 29 ndugu zetu zaidi ya 600 walitekwa na kupotezwa na hata baada ya Oktoba 29 hali imezidi kuwa mbaya maana bado watu wanaendelea kutekwa na kupotezwa na wengine tunawindwa kila kona, tunaishi kama digidigi halafu bado nyie mnaguts za kujiita Jeshi la Wananchi, Jeshi gani la Wananchi ambalo haliwezi kulinda usalama wa hao Wananchi wake?
JWTZ mlishindwa kulinda uhuru na usalama wetu, maana kulinda Uhuru na usalama wetu ilikuwa ni pamoja na kuhakikisha Maandamano ya Wananchi ya Oktoba 29, yanafanyika kwa amani na yanaisha kwa amani, lakini nyie mlitulia tu mkaacha vikosi vya Samia vimwage damu za maelefu ya Watanganyika ambao waliuwawa kwa risasi.
Kibaya kuliko yote baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ ambao walionekana wakilinda Maandamano ya Wananchi Oktoba 29 maeneo mbalimbali nchini.
Baada ya Oktoba 29, wewe CDF uliagiza wakamatwe na wafunguliwe kesi kwenye Mahakama ya Kijeshi (Court Martial) mkawabambika kesi kwamba walichochea Maandamano, yani kwa lugha nyepesi ni kwamba wewe CDF, ulichukizwa sana sana kwa kitendo cha baadhi ya Wanajeshi wako wa JWTZ kulinda Wananchi ili wasiuwawe kwenye maandamano ya Oktoba 29, means ulifurahishwa sana na mauaji ya Watanganyika wenzetu siku ya Oktoba 29.😭
Mahakama ya kijeshi ( Court Martial) iliwatia hatiani Wanajeshi ambao walijitolea kulinda Wananchi siku ya Oktoba 29 ili wasiuwawe, Yani wanajeshi ambao walijitolea kutulinda Oktoba 29, Wamefungwa wapo magereza wanasota wakati huo Viongozi wa ulinzi na usalama walioshiriki kuuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi wapo mtaani wanatamba bila wasiwasi licha ya kwamba hata wewe mwenyewe unawajua kwa majina na sura zao.
Hii dhambi itakutafuna wewe na kizazi chako mpaka siku unaingia kaburini.
NB. Hii video ambayo nimekutumia hapa huyu ni Mwanajeshi wako wa JW, kamvua nguo raia na kumtesa hadharani, huu ndo ukatili ambao baadhi ya Wanajeshi wako walikuwa wakiwafanyia watu siku ya Oktoba 29, hili tukio lilitokea Tunduma siku ya Oktoba 29z
Ndimi Hilda Newton,
Mwanachama wa Chadema na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu.
@kasesco_tz Ilinikuta natoka mwanza kwenda Dar, nimekunywa maji imefika muda wa kuchimba dawa nimelala sijashuka, bus limeiva nipo seat za kati kati huko kunifuata dereva naona Soo, niliibana mkojo ,niliumwa,nilichanganyikiwa,kufika nzega kuchimba dawa napata kizunguzungu naanguka,asee acha!
Ni takriban miezi 14 sasa,mmoja wa raia wema Tanzania,Tundu Lissu anashikiliwa gerezani kwa tuhuma za UHAINI. Duniani kote haijawahi kutokea mtu mmoja tu kuhusika na kosa la uhaini yaani kuipindua Serikali iliyochaguliwa kihalali.#FreeTunduLissu
Watanzania tusikubali wauwaji wakajificha nyuma ya neno sovereignty ili kukwepa accountability ya mauaji ya October 29. TUSIKUBALI WAUAJI WAKABADILI NARRATIVE YA OCTOBER 29…
NI LAZMA IANZE KAMPENI KABAMBE. LAZMA ATOKEE MTU HUKO TITKOK/ISTAGRAM/FACEBOOK AWAONGOZE WATANZANIA KWENYE KAMPENI YA KUMUOMBA DONALD TRUMP AINGILIE TENA KWA KISHINDO KIKUBWA ISSUE YA MAUAJI YA OCTOBER 29…….
Wait, let me get this straight.
So this woman ordered the killing of over 10,000 of her own citizens, then turned around and claimed the presidency.
Just days after the massacre, she stood on a podium and proudly declared that “the correct force” had been used against protesters. Then, in one of the coldest moments imaginable, she questioned grieving parents by asking: “Why did you allow your children to protest? This is why they are dead.”
When the European Union condemned the killings, she arrogantly responded: “Who are you to tell me what?”
Then the United States condemned her regime. Unlike her response to Europe, she was far more careful with America because she fears Washington. Instead of insults, she sent lobbyists to try and convince President Trump and the U.S. government to look away from the bloodshed.
As we speak, Tanzania continues paying tens of thousands of dollars every month to a Trump-aligned lobbying group in Washington, hoping Americans will ignore the massacre. But despite the lobbying, President Trump has not looked away. Members of the U.S. Congress have continued standing with the victims and condemning the killings.
When lobbying failed, she moved on to offering mineral and business deals to American companies, believing economic interests would erase the blood of innocent protesters. Some companies accepted the deals, yet still the pressure from the United States did not disappear.
And now, after failing to silence international outrage, what is her latest move?
She has turned to some of the world’s most notorious online scammers to help rewrite history , to shift blame away from her regime and somehow pin responsibility for the killings on America and President Trump. She has hired a NIGERIAN SCAMMER to do a documentary to whitewash the killings. All reputable journalists and media houses in the world refused to do her dirty work, except Nigerians, OFCOURSE!!!!
Imagine that. A government after massacring its own people now paying NIgerian scammers to attack the very countries demanding accountability.
@POTUS, @realDonaldTrump Tanzanians are begging the world not to abandon us. A country cannot heal, prosper, or remain stable while the person who ordered mass killings continues to hold power without accountability.
The people of Tanzania deserve justice. And above all, they deserve the chance to reclaim their country and live without fear.
Niliongea mara kadhaa kuhusu mgawanyiko kwenye vyombo vya usalama, watu wakadhani naongea ili watu wapate motisha ya kuandamana…..
Kuna jambo linakuja……… Huwezi kuua wananchi kinyama vile ukadhani maisha yataendelea tu
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
‘Umeshinda’ uchaguzi at 98%, ila unanyimwa usingizi na 2%.. kila ukifungua kinywa unataga. Unachamba as if uko kibao kata! Do you think you are clever enough to play us?