Waziri wa Afya #JenistaMhagama naomba nikukaribishe wizarani na kazi hii.
Adopted from a Parent
Habari za kazi Buyobe na pole kwa kazi za kila siku ndugu yangu.
Naitwa Samson nina mtoto wa miaka 2 na nusu sasa ambae amepata tatizo kubwa la kitabibu.
βΌοΈUSIPITE BILA KUSOMAβΌοΈππΎ
Madai ya wafanyabiashara #Tanzania kufuatia kutangaza mgomo kuanzia tarehe 24 June, 2024 ππΎ
1.Service levy itolewe
2.Goverment levy itolewe
3.Kodi ya kusota kwenye mahoteli ya kila tv itolewe
4.Faini iwe kama kwenye magari kwa gari la milioni mia sita likifanya kosa fine yake ni 30 bajaji na boda 10 kwanini maduka yawe na fine kubwa kiasi hicho
5.Kodi zote ziwe kapu moja
6.Risiti sio kodi bali ni manyanyaso kwa wafanya biashara
7.TRA kusumbua kukamata mizigo tumekuwa kama wezi kwenye mali zetu
8.Hesabu za wahasibu kukataliwa mara kwa mara na kupakaziwa madeni yasiyolipika
9.Kodi ya zuio bado wanasumbua
10.VAT ikusanywe viwandani , viwanja vya ndege na bandarini mitaani kodi za kawaida
11.Ukomo wa kodi ya makadirio iwe kuanzia 35 na kukoma milioni moja isipande tena kwa mfanyabiashara hata awe mkubwa kiasi gani
12.Kuzuia wageni wanaofanya biashara ndogo ndogo nchini kote
13.Waziri mkuu, waziri wa fedha na waziri wa viwanda na biashara na makatibu wakuu wajiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu wao
14.Nchi nzima tuimbe wimbi mmoja tutafanikiwa kwa kiwango kikubwa