Pokot South MP~ IEBC, mnisikie vizuri! Hii mwaka inakuja, kwa kura ya presidential, tunataka debe moja pekee yake ikuje West Pokot, na hiyo debe ni ya William Ruto pekee. Hatutaki kuona ballot boxes za kina Sifuna na hao wengine. Wao wapeleke ballot boxes zao huko kwao.
Nilikua natembea huko kwa soko, nikapata gari ya polisi. So, mimi nikaona kwa gari imeandikwa 4×4, nikafanya nini? Nikaandika 16. Sasa wakaniambia, ‘Ingia hapa, watu kutoka Nairobi University wanataka walimu wa hesabu.’
Gedion Moi’s Standard Group Ltd calls us goons of Yemen.
In Homa Bay Town, we call ourselves Ruto Defence Force of Jerusalem - peaceful🙏
Ruto ✌️
Wanga ✌️
Kaluma 🖖
"Reckless! Raila was an opposition leader, but at least he had a responsible mouth. What we have today is a full-blown case of mouth diarrhoea, Nikkitah Maria Nyambura