"Simba inacheza mpira hauvutii, wale Yanga wanafungwa kila siku lakini wanavyocheza unaona kabisa pasi zinapigwa timu inatafuta goli lakini kwa Simba timu haichezi kitimu yani Kila mchezaji anacheza kivyake". Tundaman!
Hii imekaaje wadau?
@betPawaTZ
Niko club kila sista du ninayeanzisha naye convo ananambia ana 23….24 age!!
Mtu mzima ninayemuona ni muhudumu tu, naye nimemuuliza kanambia ana 26!!
Yani niko 10yrs ahead!!
Acha tu nikalale zangu….Umri ushasogea
huu!!
Diamond Platnumz,
Anatarajiwa Ku-peform tarehe 16,
Huko Morocco 🇲🇦, kwenye Tuzo za CAF
Jana amepost akiwa Amefika Morocco kwa ajili ya Show hiyo..
Video kwa Comments 👇