Happy birthday to my baby sister. A girl behind my business in Dar, pacha ake baba, kipenzi cha mtoto wangu (mwanangu anatuchanganya sura eti😂)
I love you so much mpenzi wangu❤️❤️
3 Yohana 1:2 🙏
@paulrightness
@bagabashu@Neypaul01 Are you sure hizo kope nimebandika?acha maneno machafu bro if u dont have anything good to comment au kumwambia ni bora kukaa kmy… u dont add any value kwa maisha yako ukimwambia mtu maneno mabaya…afu ningeweza kukaa kmy nickujibu but nakujibu coz you find urself perfect 🚮
Jana tulikuwa na sherehe, Mungu ni mwema sana, sasa wadogo zangu wa kike wana degree🙏
Bachelor degree in Taxation with good GPA. Hongera sana mama @paulrightness