Hivi hili la mpangaji kumlipa dalali kodi ya mwezi mmoja baada ya kumtafutia nyumba limekaaje?
Nani anapaswa kulipa hii agent fee, Ni mpangaji au mwenye nyumba?
Na siku hizi madalali wameongeza na Service charge juu,
Mheshimiwa @JerrySilaa Sema neno mkuu.
#tumedeliver Tukiwa tunaukamilisha mwaka 2023, Main FM 91.7 Kigoma, Tunatumia fursa hii kuwashukuru wadau wote tuluoshirikiana nao Kibiashara na kuamua kutuamini na kutangaza nasi biashara zao .
#tumedeliver Tukiwa tunaukamilisha mwaka 2023, Main FM 91.7 Kigoma, Tunatumia fursa hii kuwashukuru wadau wote tuluoshirikiana nao Kibiashara na kuamua kutuamini na kutangaza nasi biashara zao .
Pichani ni baadhi ya abiria wa Mpiji Magoe jijini Dar es salaam kama wanavyoonekana wakiwa kwenye kituo cha daladala Mbezi mwisho ambapo husubiri daladala kwa kupanga mstari na basi likifika wanapanda kwa mstari, likijaa, wanaobaki wanasubiri basi lingine.
Jumatano hii ndani ya #SikuMpya tutakuwa na Dr Ezie Ally Mbwana kutoka Hospitali ya Rufaa ya mkoa Maweni tukizungumza kuhusu Selimundu (Sickle cell).
Unaelewa nini kuhusu Selimundu?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua maabara za Sayansi za Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 60 ya KKKT.
Mapema asubuhi ya leo kupitia kipindi cha #SikuMpya tumezungumza na Meneja wa Tanesco mkoa wa Kigoma Eng. Joachim Ruweto pamoja na Afisa Uhusiano Bw. Immanuel Matuba.
"Yapo madhara na makosa makubwa ya kijinai ambayo yamekuwa yakitendeka katika jamii kwa imani potofu za kishirikina na moja wapo ikiwa ni hofu kubwa, taharuki na migogoro katika jamii kwa sababu ya kujihusisha na vitendo vya imani ya kishirikina na ramli chonganishi."
Kamishina msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma (ACP) Iddy Kiyogomo akizungumza na Main Fm kupitia kipindi cha #SikuMpya amesema, Kamchape haikubaliki katika eneo lolote na wala haipo kisheria.
"Kamchape/Lambalamba haikubaliki ni chanzo kikubwa cha migogoro, chuki,
Ile time ya kujipakulia minyama yenye ujazo wa kutosha kuhusu mambo yote yanayoendelea mtaani ni hii hapa 4:00Asubuhi mpaka 7:00Mchana kwenye #Kisinia#Tukutanehapo
...............
Tufuatilie zaidi
Instagram @mainfmtanzania
Facebook @mainfmtanzania
Twitter @mainfmtanzania
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amekukagua miradi mbalimbali ya Maji ya muda mfupi Wilaya ya Kasulu jimbo la Kasulu Mjini, akizungumza katika eneo la Mradi kata Kumunyika katika mradi wa Maji Mudandya na Mradi wa Maji Juhudi ikiwa ni sehemu ya ziara yake kata na maeneo mbalimbali
Tume ya Vyuo vikuu Tanzania (TCU) imefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili wa maombi ya kujiunga na vyuo kwa waombaji wa Shahada ya kwanza kwa mwaka 2023/2024.
Dirisha hilo limefunguliwa leo tarehe 15/7/2023 na litafungwa rasmi tarehe 04/08/2023.
#mainfmupdates
..........
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Imani Kajula amethibitisha kwamba kuelekea msimu ujao klabu hiyo inatarajia kuzindua jezi zake Ijumaa ya wiki ijayo.
Kajula amesema kwamba jezi hizo zitazinduliwa rasmi katika kilele cha mlima wa Kilimanjaro siku ya Ijumaa na
Klabu ya soka ya @simbasctanzania imemtambulisha rasmi raia wa DR Congo, Fabrice Luamba Ngoma kuwa mchezaji wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka 2.
Klabu ya Simba imemsajili Ngoma akitokea klabu ya Al Hilal ya Sudan yakiwa ni maandalizi kuelekea msimu wa 2023/2024.
#mainfmsports
Asante Kigoma!! Tumewasha!!
Tunawashukuru sana wadau wetu walioshiriki tukio la kuwasha rasmi mic za Main Fm.
Tunaamini katika kudumisha ushirikiano huu.
...........
Tufuatilie zaidi
Instagram @mainfmtanzania
Facebook @mainfmtanzania
Twitter @mainfmtanzania
Asante Kigoma!! Tumewasha!!
Tunawashukuru sana wadau wetu walioshiriki tukio la kuwasha rasmi mic za Main Fm.
Tunaamini katika kudumisha ushirikiano huu.
...........
Tufuatilie zaidi
Instagram @mainfmtanzania
Facebook @mainfmtanzania
Twitter @mainfmtanzania
Asante Kigoma!! Tumewasha!!
Anzuruni kibela ni legend Kigoma, Wengi wanamjua na kumsikia, Amekua mdau wa Main FM toka alipoisikia kwa mara ya kwanza alihisi tofauti. Akabaki hapo hapo 91.7
Ni MC lakini pia ni DJ wa kitambo hicho, Zaidi ya miaka 25 sasa,
Anafurahia kuona kuna
Kigoma! Kigoma! Kigoma!
Inapoishia reli ndipo inapoanzia reli,
Main FM 91.7 Kigoma, Hii ni ya kwetu, tuna kila sababu za kujivunia maendeleo haya makubwa kwa Mkoa wa Kigoma.
Majukumu yetu hayabadiliki, Ila yanaongezeka, Kuiunganisha Pamoja jamii ni kipaumbele chetu,