PBZ Hajj Akaunti, inakuwezesha kuweka akiba yako kwaajili ya kuitikia wito wa kwenda Hijja
Kupata huduma hii tafadhali tembelea tawi lililo karibu nawe
PBZ Ikhlas"Kwa Faida Halali"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznahijja
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali, tarehe 19 Mei, 2025 PBZ BANK tumeshiriki katika uzinduzi wa sera ya nambo ya nje ya mwaka 2001 toleo la mwaka 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).
PBZ Benki "Benki ya watu,Chaguo la watu"
#pbzdiaspora
PBZ Bank tunampongeza Prof. Mohamed Janabi kwa kushinda uchaguzi na kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika kwenye uchaguzi uliofanyika leo Mei 18, 2025 Geneva.
PBZ BANK : "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznaafya
PBZ Bank inakurahisishia kufanya miamala mbali mbali kupitia PBZ INTERNET BANKING.
Kujiunga na huduma hii, tembelea tawi letu lililo karibu nawe.
PBZ BANK: "Benki ya watu, Chaguo la watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznainternetbanking#pbznaweekend
Kwa lengo la kuwafikishia wananchi wengi zaidi habari njema kuhusu huduma bora na fursa za kifedha kutoka PBZ Bank, leo tarehe 16 Mei 2025, PBZ Bank imesaini mkataba wa ushirikiano wa matangazo na IMANI Media.
PBZ BANK : "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"
PBZ Bank yadhamini na kushiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wataalamu wa Uchunguzi na Udanganyifu katika masuala ya Bima (IASIU - Tanzania Chapter) unaoendelea katika ukumbi wa PAPU, Tower Arusha.
PBZ BANK : "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznatira
Nunua Umeme (Luku na Tukuza) kupitia PBZ Mobile App,
Kupata huduma hii, Pakua PBZ Mobile App kupitia App store au Google Play
PBZ Mobile Banking: "Benki yako, Kiganjani mwako"
#pbzbank#pbzikhlas#pbzmobileApp
Kwa lengo la kukuza na kuimarisha uhusiano wa kibiashara, leo tarehe 14 Mei 2025, ujumbe wa DZ Bank ya Ujerumani, ukiongozwa na Bwana Christoph Geiger, Mkurugenzi Msaidizi wa Mahusiano kwa Bara la Afrika umeitembelea PBZ Bank Makao Makuu.
#pbzbank#pbzikhlas#pbznadzbank
PBZ Bank tumeungana na Watanzania katika Kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ndugu Charles Hilary.
PBZ BANK : "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznauma
Ikiwa ni sehemu ya kujifunza kuhusu kifedha na huduma za kibenki kwa ujumla,
Leo tarehe 14 Mei 2025 wanafunzi wa Skuli ya Leera wamefanya ziara ya kuitembelea PBZ Bank.
PBZ Bank: "Benki ya watu, Chaguo la watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznaleeraschool#pbzwanafunzi
Kwa nini uje bank wakati PBZ WAKALA yupo kitaani kwako?
Kupitia PBZ WAKALA unaweza;
➡️ Kuweka na kutoa pesa
➡️ Kutuma pesa
➡️ kulipa malipo mbali mbali ya serikali
➡️ Kulipia ada
➡️ Kununua umeme (LUKU
na TUKUZA)
PBZ WAKALA "Nafuu na Salama"
#pbzbank#pbzikhlas#pbzwakala
Ukumbusho muhimu...!!!
Katika safari yako ya kwenda Hijjah hakikisha hausahau "PBZ Visa Card", ambayo inakuwezesha kufanya manunuzi na malipo ya huduma mbali mbali popote duniani.
PBZ Bank"Benki ya watu, Chaguo la watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbzvisacard
Furahia huduma bora na nafuu kupitia PBZ WAKALA
Unaweza kupata huduma mbali mbali za kifedha ikiwemo
➡️Kutoa Pesa
➡️Kulipia Bili Mbali Mbali
➡️Kulipia malipo ya serikali
➡️Kununua Umeme Luku/Tukuza
PBZ WAKALA"Ni nafuu na Salama"
#pbzbank#pbzikhlas#pbzwakala
Kwa lengo la kupeleka huduma bora za kibenki kwa ndugu zetu waishio nje ya nchi (Diaspora)
PBZ Bank tumeshiriki Maonesho ya Uwekezaji Jijini London na Birmingham, pamoja na mikutano ya kijamii Leicester.
PBZ BANK : "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"
#pbzbank#pbzikhlas#pbznalondon
Anza kuweka akiba kidogo KIDOGO KUPITIA, PBZ IKHLAS kwa mipango ya kwenda HIJJA.
Ili kuweka akiba kwaajili ya Hijja tembelea tawi letu la PBZ IKHLAS ukiwa na;
⏩ Picha moja ya passport size
⏩ Kopi ya kitambulisho cha NIDA au Mzanzibari Makaazi.
⏩ Shilingi 20,000 kama kianzio.
Taarifa kwa Umma.
Tunapenda kuujulisha umma kuwa baada ya maboresho ya tawi letu la Kariakoo, Dareslaam, litafunguliwa tena kuanzia 12 MEI 2025.
Muda wa kazi ni kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi 11: 00 jioni.
Nyote mnakaribishwa.
PBZ BANK : "Benki ya Watu, Chaguo la Watu"
Fanya malipo kirahisi kupitia PBZ Mobile App.
Ili kufurahia huduma hii, pakua PBZ Mobile App kupitia Play Store au App store.
PBZ Mobile Banking "Benki yako kiganjani mwako"
#pbzbank#pbzikhlas#pbzmobilebanking