Tarehe 29 sio tarehe ya kawaida tena.
Tutawakumbuka daima mashujaa wote waliouwawa wakidai haki.
Na maelfu waliopigwa risasi wakauwawa wakati Samia akijilazimisha kuwa rais wa Tanzania.
Damu zenu zisinyamaze kamwe hadi haki ipatikane.
Rest in power, comrades! #MO29#Saba7
Walidhani wakisogeza mbele wiki 3 bila sababu yoyote ya msingi ndio watakwepa aibu? Walisahau kuwa muda hausimami! Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, zile wiki 3 zilizokuwa zinawapa jeuri sasa hivi zimekata! Zimeisha!
Sasa hakuna pa kujificha. Tukutane Mahakama ya Rufaa, JIJINI Dar es Salaam! Wana-Dar es Salaam na wapenda haki wote, mjitokeze kwa wingi sana siku ya Ijumaa maeneo ya Kivukoni. Hii siyo kesi ya kisheria, hii ni kesi ya michongo, ya kisiasa, na ya kubambikwa na serikali ya Samia dhidi ya Mhe. Lissu! Tunaidai Mahakama ya Tanzania itende haki bila upendeleo na kusimamia haki za binadamu ambazo zimekuwa zikikandamizwa!
Siku zimeisha na mipango yao imefeli vibaya mno! Hahahahaha! Walidhani labda wangesogeza mbele mwaka mzima ingewasaidia kitu? Imekula kwao! Mhe. Lissu amesimama imara na amegoma kabisa usanii wao. Hataki utapeli, hataki huruma, na hataki maelekezo ya kifisadi ya Ma-CCM ya kutaka kumwachia kwa hisani. Anataka haki itendeke, na atatoka kwa KUSHINDA kesi mahakamani! Tukutane Kivukoni!
#FreeTunduLissu
#MahakamaYaTanzania
#HakiZaBinadamu
Hakuna mtu mgumu kumuhamisha dini kama mkatoliki🙌🙌
Imani ya hawa jamaa ni kama imejengwa kwa tofari za chuma,Kuwahamisha utaacha ndala.
Hata uwaambie nyinyi ni waabudu sanamu utajichosha bure misimamo yao haipepesuki kizembe asee🙌
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Ujumbe Kutoka Kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania 🇹🇿 Bara John Heche.
✍️👇
🗣️”Watanzania msiogope, Nchi hii ni ya kwetu sote... Tunaipenda na wote tunatamani kuishi maisha yenye staha na heshima.
Kwa mda mrefu kikundi cha watu wachache wanatumia rasimali na utajiri wa Nchi yetu kwa manufaa yao wenyewe na familia zao.
Vijana wengi hawana ajira wakemata tamaa, hawana matumaini tena na familia nyingi zinateseka na kuishi maisha duni sana. Nyumba wanazokaa watu wetu, hali ya maji, umeme na miundombinu ni duni sana. Elimu za watoto wetu na hata hospitali zetu bado ni za chini mno.
Manyanyaso, mateso, utekaji, wizi, hujuma na kukosekana kwa haki, vimegeuzwa kuwa mambo ya kawaida kwenye Nchi hii.
Tunataka yote haya yafike mwisho, hili ni Taifa teule la Mungu, lazima liongozwe kwa heshima na nidhamu sio uhuni na vitisho.
Wakati ni sasa, msiogope ushindi uko karibu.”
#MeaMswahiliUPDATES
Moja ya message nilizokutana nazo DM leo baada ya mikutano ya hadhara kuzuiliwa Tanzania.
@SuluhuSamia@jmkikwete@ccm_tanzania , haya mawazo ya aina hii kwa karne hii ya teknolojia sio impossible. Hizi drones zinaweza kununuliwa kwenye black market na kuibadilisha Tz na kuifanya kuwa zaidi ya Congo. Siku hizi vita haihitaji watu on the ground, inahitaji kuwa na drones mchezo umekwisha.
Mmechukua njia zote halali za wananchi kudai haki, sasa wanawaza mambo magumu kama haya……
Kweli watu wawili na familia zenu ndio mnaipeleka nchi huku?
Nchi inahitaji Mindset Revolution kabla ya kitu chochote kingine. Huu
ni wajibu wa kila mtu kuanzia alipo. Mabadiliko ya taifa hayaanzi juu, yanaanzia kwenye namna kila mtu anavyofikiri, anavyozungumza, na anavyoishi na wengine kila siku.
Hongera @fistonmayele9 kwa kufunga bao lake la kwanza kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Ameandika historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuwahi kucheza Klabu yetu na Ligi Kuu Tanzania kufunga bao katika Fainali za Kombe la Dunia. 👏💛💚
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Sasa ni wazi hawataki kumwachia LISSU maana moto wake utakuwa mkubwa kuliko huu wa HECHE.
Walikiweka chama kabatini na kudai kimekufa. Baada ya miezi miwili ya kampeni free Lissu na katiba wameamua kukimbilia msaada wa polisi.
CCM kwisha, kwisha, kwisha kabisa.
Hezbollah is an Iran-backed terror group occupying southern Lebanon that has terrorized Israeli and Lebanese civilians for decades.
Israel cannot allow terrorists to bomb Israelis from foreign soil with impunity.
TAARIFA KUTOKA GEREZA LA UKONGA KWA MHE. LISSU
Ni kwamba kwasasa Mhe. Lissu anaendelea vizuri kiafya.
Jumatatu yani Mei 25, 2026 atakuwepo katika kesi ya Chadema ya mgawanyo wa mali, ameomba Wanachama pamoja na wafuasi wa CHADEMA wahudhurie Makahama Kuu siku hiyo ili kufuatilia kesi hiyo.
Lakini pia kesi yake ya mchongo ya UHAINI itaendelea kuanzia JUNE 11, 2026.
🔴ELIMINATED: Hamer Iyad Muhammad Almatouk & Khaled Muhammad Salem Joudeh, 2 Hamas terrorists.
The terrorists infiltrated Israel during the October 7th Massacre and, in recent days, tried to carry out attacks against IDF troops operating in the area.
Additionally, the IDF eliminated Abd al-Rahman Mahmoud Jumaa Shaafi, a terrorist in Hamas’ Bureij Battalion who advanced attacks against IDF troops.