@Kilwafinest Kweli siku za mwisho zimefika, watu hawana aibu, wabinafsi, wako radhi kuumiza wengine ile wajifurahishe nafsi zao, furaha zenyewe ni za muda tu na ni batili... imaginie leo siku karibu ya 6 mnapost picha tu kama wajinga kideo hamtoi, mbaya zaidi hata kile cha Rahma Sikukiona ase
@INFLUENCERjr @Kariakoo_ @JinoUkucha "Bwana" kwenye biblia sio kuanza, herufi zote zimeandikwa in capital letters. Kwa sababu waandishi walijua pia kuhusu lahaja mbalimbali kimvita n.k
Huyo binadamu amepuyanga tu, kimsingi hata kanuni za uandishi jina la mtu lazima lianze ja herufi kubwa.