"Nchimbi anasema Samia anataka Katiba lakini wakati huohuo anatuambia tukomae tupate katiba, sasa maana yake ni nini? Kama hakuna anayezuia si inatakiwa iwe yenyewe tu bila kukomaa!" ~ Heche
Kwako @nchimbie , kama haya unayoyasema ni sehemu ya project ya “kukinusuru chama” naomba nikwambie kwamba baada ya October 29 hakuna chochote kitakachoinusuru CCM na hasira za Watanzania.
Watanzania tunakuomba uangalie jinsi ya KUINUSURU TANZANIA, na sio kuinusuru CCM.
CCM imeshafika mwisho….. Na mioyoni mwetu Watanzania tumeshafunga ukurasa wa CCM.
Kwenye post za hili tamko la leo kuhusu wa 🇹🇿 pambanieni katiba.
Comments nyingi zinasema
-Huyu anatufaa anaongea lugha yetu.
-Anavyoongea kwa upole hadi raha
-Huyu anaonekana ana huruma na wananchi
-Mzee kanyooka sana anatufaa!!
Kiukweli mitanzania ni mibumunda sana, rahisi kweli kuichota akili 🚮
aaaf inasahau haraka!!
Inasahau kuwa kila aliyekuja kuwa miyeyusho alianza kwa lugha tamu hizo hizo!!
Mimi nitakuwa wa mwisho kumuamini whoever anayetoka upande ule wa vegetables.
Ni kweli VICEnt seems like a good man, tatizo anaongelea akiwa wapi!!
Mimi moyo wangu umekuwa mzito sana kuwaamini hawa……
Kama ulikuwa hujafuatilia posts zangu narudia - huko ndani hali mbaya - vita imeshakuwa kubwa
Sisi huku nje tuendelee na mapambano dhidi ya utawala huu wa kifedhuli - atakayeibuka mshindi tutajua tutadeal naye vipi! Ila huyu kimama na genge lake wamedhihirisha wako tayari kutuua wote maana wao wanataka waibe rasilimali ZOTE za Tanganyika na watambe wao na familia zao - sisi tumegoma!
Ni mashetani wenye roho nyeusi! Kama kuna wenye roho za kibinadamu wamebaki huko ndani wapambane kwelikweli! Sisi hatujaacha kupambana 👊🏽🔥
Tumeshashinda sema mashetani wamekaza fuvu tu!
“BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya."
Kutoka 14:14
🔥🔥7/7 sasa inafuatiliwa na dunia nzima‼️
Sijui mmeona headline za kimataifa wameunganisha ban ya mikutano na maandamano ya Sabasaba aka 77 ✊🏽
Sasa tukiwaambia dunia macho yote yako Tanzania niaminini! Hawataweza kufanya walichofanya na tunatoa taarifa ulimwenguni kila siku! Ndiyo maana wanahaha kila kona ila bado tunawaanika!
Sikilizeni nyie madhulmat hii vita mmeshashindwa
You are postponing the inevitable
Mi nawaeleza hamtaki kukubali - haya!
#Tutaelewana
#Maandamano77 #SamiaMustGo #JusticeForMO29 #FreeTunduLissu
"Tuna Heal the nation" Ko Mboo.
Unaponya TAIFA huku familia kwa maelfu hazijazika ndugu zao (maiti za za wapemdwa wao mmezika makaburi ya halaiki) misiba bado inaendelea kila kona ya nchi.
Unaponya taifa huku maelfu ya watanzania ni vilema kwa kupigwa Risasi wakipigania taifa lao na hakuna kilichobadilika.
Unaponya taifa huku kukiwa hakuna UWAJIBIKAJI wa mauwaji yote yale mliyofanya kwa watanzania zaidi mnaendelea kutisha watu.
Unaponya taifa huku UTEKAJI kwa wakosoaji wa serikali unaendelea kila kona ya nchi, haipiti week hatujaokota maiti za watu mnaowateka kila siku.
Unaponya taifa huku ukiwa umeminya uhuru wa kidemokrasia, chama cha CHADEMA (TUMAINI LA WATANZANIA) kinapigwa vita ya kufungiwa kila siku kosa tuu ni kuwasemea watanzania.
Huku ni KUPONYA TAIFA au ni kuigiza uponyaji kama kwenye madhabahu za MWAMPOSA?
Hawa watu wanaongea kama wamekatwa VICHWA.
Kauli zao👇🏾
•Walioleta fujo walilipwa.
•Mafunzo yao ya vurugu walifanyia hapa Tanzania.
•Waliohusika kuleta fujo siyo raia wa Tanzania.
•Hizo maiti mnazoonesha ni za Gaza.
•Nguvu iliyotumika ni sawa kabisa.
•Mngewakanya watoto wenu wasingeuliwa kama wasingetoka.
•Wakati wanauawa, walikuwa wanawarushia askari mawe.
TUTAFIKA TUU—endeleeni KUROPA.