@McinikaWaLamar Uchawi ni kupambana kuwashusha wenzio ili wewe uende mbele, na kusahau kwenye hustle zetu nyuma kuwa mnyororo wa watu wengi wanatutegemea. Tukianguka sisi mahustler tumewaangusha watu wengi nyuma yetu and that is not fair. Big time broo