@TruthWatchDogTZ Huyu dada yeye ni public figure kuhusiana na kuhamasisha mambo yanayohusiana na VVU na aliamua kujitangaza yeye ili kuwasaidia wengine wanaoishi na maambukizi, ila sio sawa kumtaja mtu kuwa mlikua nae kwenye clinic moja ni sawa na Daktari anatangaza ugonjwa wa mtu kisa wamgombana
@meamswahili Yeye inamhusu nini? Maana hata club ikitoa hiyo fine kuna michango ya wanachama pia kwan sehemu za mapato ya club ni pamoja na fedha za wanachama, hivyo atulie watu wafanye yao.
@John_Pambalu Wakati ndege ya Serikali inatolewa na Serikal kuipeleka Simba au Yanga au clubs nyingine kwenye match za kimataifa ni siasa kwenye soccer au ni utaratibu wa kawaida, naomba kufahamishwa kwa anayejua.