@Mtibwa_sugar_fc@SimbaSCTanzania Mnajipendekeza sana Kwa Simba nyie mmefika wapi. Afisa habari wa mtibwa atakuwa ni shabiki wa Simba unatakiwa uiproud team yako. Hatukatai kuitakia Kila rakher Simba ila so kama ww ivyo, mm ni mshabiki wa mtibwa nimeumia sana.
Serikali inaposema imefuta Tozo za miamala haswa katika miamala ya Mabenk Kwa wananchi hainafaida yeyote, Bali kwenye hili wamefaidka wachache ktk wengi.R.I.P our president JPM.🙏🙏🙏