@flahisha Ngumu kumeza nyepesi kulewa. Hapo baba aliporudi aliona mkewe labda karudi zake mapema amechoka Sasa kapumzika Wacha nisimsumbuwe kumbe ni dada wa kazi dah hiii tamu kwa jirani yako kuisikia
Chadema imetufundisha kuwa Tunapaswa kuwa waongo na kutumia njia ambazo sio halali kwa lengo la kujipatia kitu fulani.
Kama nikipewa nafasi ya kutoa ushuhuda basi ningeeleza kila aina ya baya ambayo CHADEMA tumefanya kwennye hizi serikali kuanzia kipindi cha Magufuli mpka Sasa
@Civil_officer@ikulumawasliano Unahoji ujinga tu wewe, Raisi Samia anafaa kuliko hata Neno lenyewe kufaa. Na kilichoandikwa kama taarifa na ujinga unao hoji vinafananaje au vinaelekeanaje...?