The people of Burkina Faso have now erected a large status of their President Ibrahim Traore to celebrate his efforts in reforming the country.
They have said that, they will not wait for him to die before honoring him, but they are cereblating him while his alive.
Moral Resson.
@SuluhuSamia Daah! Sa itakuwaje? Na zile taarifa za kupigwa Bei hili lijamuhuri tutazitoa wapi sasa? Haya sawa ila mwendo wa kobe yupo atatujuza kadiri atakavyo jaliwa na Allah. Ulale Salama Mzee Job.
@privaldinho Kuwa japo na soni usoni mwako. Jenga heshima yako kwa jamii Yanga sio maisha yako ya milele na pia kuna maisha baada ya Yanga. Jifunze kwa Manara.
@JMakamba Wakulima, wafanya biashara wadogo na Unga Unga mwana ndio tunao teseka nchi hii. Inafikia hatua hadi mtu unajuta kuzaliwa Tanzania. Iko wazi wanao faidi matunda ya nchi hii ni wale wale watoto na wajukuu wa viongozi sie walala hoi kukamuliwa tu kila siku. Idiot Makamba.
@JMakamba Kama ungejiuliza haya yote wala usinge pata uthubutu wa ku post hiyo picha na hayo maelezo na majigambo yote. Hii nchi kama baba yako hakuwahi kuwa kiongozi, basi sahau huduma bora za kijamii, utaishia kuzisikia na kuziona wenye social media kama hivi. Familia za watumishi,
@JMakamba Serous unajisifia jambo hilo. Watoto wangapi wa wapiga kura wako hapo jimboni kwako wamekosa hata ada za kuendelea na Masomo yao hapa hapa nchini, ni wangapi hawana hata mabweni ya kusomea na wangapi wana mazingira mabovu ya kusomea?