@HildaNewton21 picha hazipigi kura dada yangu sio mafuriko yote kwenye kampeni basi ndo wapiga kura. Ukishawaza hilo kwa makinj baso yajayo yanasisimua
@thursday22nd @GwamakaAkimu@millardayo Najaribu kuwaza pale kimara asubuhi kwenye mwendokasi au daladala...its a disaster unaanzaje kunawa mikono???
This is impossible future tense...haya maagizo siyaoni yakitekelezeka