@MosesMasanja2@HecheJohn Huyu jamaa jau sana. Halafu anajionaga ana akili kumshinda mtu yeyote hapa Tanzania. Yeye ile gari yake ameipataje kama kila siku anashinda kuombaomba?
@Roma_Mkatoliki Joseph Yona alitekwa na nani?
Taarifa za watu wengi kutekwa hasa wafuasi ama viongozi wa CHADEMA mbona zilikuwa zinaripotiwa na mtu mmoja ambaye ni mwenyekiti wa Kanda fulani? Mbona siku hizi ameacha kuripoti? Au sababu uchaguzi ulishapita ndani ya Chama?.
@DanielS4793169@usembassytz Wewe ndio unapaswa kuwa na aibu. Nani amekuambia Marekani kuna demokrasia ya kweli? Wameshiriko mapinduzi kwenye nchi ngapi Afrika na Duniani?
Mjinga kama wewe tu, ndiye unayeweza kudhani demokrasia inakuja kutoka Marekani, nchi ya wadhalimu.
#KUJIONDOA_KIMKAKATI
Sio kila jambo huungwa mkono au kuendelezwa. Mengine ni vyema kupuuzwa na mengine ni ya kujiondoa katika msururu wa kusambaza ubaya. La muhimu - Humu kwenye mitandao ya kijamii ni kutokuwa sehemu ya muendelezo wa hoja majitaka. KUJIONDOA KIMKAKATI NI NUSURA
Nilisikia tangazo redioni kuwa @TFSAgency Dodoma wanawakaribisha wakazi wa Dodoma wakachukue miti kwa ajili ya kupanda kipindi hiki cha mvua.
Jana nikaenda @TFSAgency Nursery Site iliyopo Mailimbili ambayo ni 15 km kutoka ninapo ishi. Kufika pale nikakutana na wadada wawili nikawaeleza kuwa nimesikia tangazo na nimeitikia wito. Wakaniuliza unataka miti mingapi? Nikawaambia miti 20 wakaniambia utaratibu niandike barua ya maombi ya miti 20 nipeleke @TFSAgency makao makuu nikipewa majibu ndio niende nikachukue miti 20 😂
Kutoka Nursery Site mpaka TFS HQ not less than 7 -10km nikawapigia hesabu ya mafuta inakuja zaidi ya kununua miche 20 nikawashauri basi wapande wenyewe wasisumbue watu ajabu walikasirika sana licha ya kuwaelekeza na kuwaonyesha projects zangu za upandaji miti na nikawaonyesha jumapili ya tarehe 18 January nilinunua miche ya thamani ya 78,000 Morogoro na kuja nayo Dodoma ila kwa hasira waliyokuwa nayo hawakutaka hata kuona picha kwenye simu 🥹.
Baadae nilimtafuta Mhifadhi mkuu anaesimamia kitaluna kumshauri ili kuondoa usumbufu ni vema barua zingendikwa kitaluni na approvals zingekuwa pale pale kituoni ili kurahisisha zoezi ajabu na yeye akakasirika na kukata simu.
Wanaouza miti wakaniambia watu wengi wakienda kuchukua miti wanakwama na kuishia kununua kwao. Na hata niche ya mwaka jana haikuisha.

@akhatt93@MickyJnr__ Morocco got what they deserved. They were favoured by official since round of 16 to the final. Poor team poor leadership. The game vs. Tanzania, Cameroon, and Nigeria. They both stole the victory. Their turn came at the end.
Peace is not silence but the wisdom to resolve differences constructively, and Tanzania’s unity remains the strongest shield against those who wish the nation harm. #AmaniMtandaoni AmaniYetu Wajibu Wetu
Ethical activism uplifts communities by offering constructive ideas, while fake activism tears them down through endless outrage. #AmaniMtandaoni AmaniYetu Wajibu Wetu