Huu ni ushamba. Dog will bite you as its master demands, dogs do not have brain to think. They will bite you as long as they are commanded to. Be careful with dogs, take precaution and protect yourself.
Mfalme akazidi kuwatesa na kuwapa katazo hata la kuchungulia dirishani ili kuona nje.
Somo: Penye kutafuta amani ‘Umoja, upendo, haki’ ni tunu kwa kila mmoja. There is no red and blue in peace keeping, one color sould be chosen and everyone should fight for.
Marusu
Katika kijiji kimoja cha kufikirika palikuwako na mfalme na ndani ya nyumba ya mfalme palikuwako watoto sita, kati ya hao wawili walikuwa wajakazi na wanne watoto wa mfalme. Mwanzo hao watoto wanne walipendwa sana na mfalme na wale wawili hawakupenda wala…….
Wamejifungia kwa hofu, wakawaambia nasisi tumetengwa na kupewa katazo kama mlilopewa nyie na Mfalme kasema sisi pia si watoto wake. Basi wote wale watoto sita wakajifungia ndani pamoja na kulia kwa sauti kubwa wakisema ‘Haki haipo kwa Yatima’, kwani wote wale sita hawakua na raha