@Norbstar9027@Sativa255 Je miaka yote tangu kuanza kwa SGR Trains mvua zilikuwa hazinyeshi? Kama ni sbabu wanayotumia hiyo je kwa miaka hiyo yote wameshindwa kutafuta njia mbadala
@RajabuEzekieli @Sativa255 Nimejifunza kitu kutoka kwako hakuna changamoto isiyoweza kutatuliwa na huwa njia inapatikana pindi changamoto zinapokuwepo sidhani kama miaka yote hiyo tangu kuanza kwa mradi mvua hazikuwepo lakini mbona walikuwa hawasimamishi kwa nini sasa hivi? Embu tufikirie mara mbili