@blackculer BoraHio, ile umepaisha ndege aviator amefika ishirini, ile unapiga hesabu unatoka ngapi princess anapiga, Oya Network ile uje urudi ndege imesepa na ela🤣🤣 nakuhakikishia unaweza achana na huyo priceless wee we wee....
@PKishamba Jamani, Hawa Si Walisema KMC complex uwanja wa Mazoezi, Tena kwa Sifa wakacheza friendly mechi ile wiki ambayo Simba alikua anacheza mechi ya ligi pale pale KMC, Unajua sitaki kutumia lile neno la Side kufanyaje sjui kushe nini ile 😵💫