Endeleeni Kufurahia Sababu Mnachokiwaza Ni Pesa Sio Utu Tena. Watu Wamekufa Tena Wengi Vijana Wadogo Lakini Mnakaza Mafuvu Kama Hakijatokea Kitu Kaeni Mkitambua UBINAFSI NA KIBURI Ni Vikwazo Vikubwa Katika Safari Ya Mafanikio Na Mahusiano Mema. R.I.P To All The Soldiers ๐๐ฝ
Haya Wewe Ndugu Msanii Uliyeshiriki Kwenye Kunadi Sera Hope Umefurahi Kuhusu Matokeo Vipi Kuhusu Shabiki Yako Aliyekufa Kwa Kuhoji Kuhusu Ukosefu Wa Ajira,Mfumuko Wa Bei, Ufisadi Wa WaziWazi etcโฆ Huwezi Hata Kutoa Pole Ya Kinafiki??