Wananchi Kukipiga Dhidi ya https://t.co/JiFbInHlBP Fc Uwanja wa Uhuru 🏟
Saa12 Jioni.
Wanatest Mitambo, Kesho wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa🇹🇿 wataanza Kuripoti Kambini.
#phabie#kigoma
MAKAZI NA OFISI ZA WAKANDARASI WATAKAOJENGA UWANJA WA YANGA....
Hapo Juu patahusika na maswala yote ya Ujenzi wa uwanja kwa Kipindi chote, Ukitaka kazi zikitangazwa utapanda hapo juu kuhudumiwa ✅️
#phabie#kigoma
🗣️Babu kaniambia yafuatayo kuhusu Usajili 🙌🔒
Yanga na Simba (Ubunifu Wao wa kutambulishawachezaji wamekuja na Ubunifu mkubwa sana)
Timu zote mbili Zimejipanga SANAna Bajet kubwa imetumika Simba WAMEMALIZA Yanga nao Watakuja na Idea Yao (Soon)
NB; Msimu huu AIBU UTAONA WW
🗣️Babu kaniambia yafuatayo kuhusu Usajili 🙌🔒
Yanga na Simba (Ubunifu Wao wa kutambulishawachezani wamekuja na Ubunifu mkubwa sana)
Timu zote mbili Zimejipanga SANAna Bajet kubwa imetumika Simba WAMEMALIZA Yanga nao Watakuja na Idea Yao (Soon)
NB; Msimu huu AIBU UTAONA WW
Inasemekana 🙌 Dar es salaam Derby , Kuchezwa Zanzibar (New Amaan Zanzibar 🏟️) baada ya Jitihada Kufanyika Mchezo huo Kuchezwa Mwanza kushindikana ...
Inasemekana 😁🔜
Dar es salaam Derby , Kuchezwa Zanzibar (New Amaan Zanzibar 🏟️) baada ya Jitihada Kufanyika Mchezo huo Kuchezwa Mwanza kushindikana ...
To be announced soon 😁🔜
Babu wa Kigoma: Ananihakikishia Wachezaji Hawa Chobwedo &Chilambo bado ni wachezaji wa Timu zao..
Ila msimu ujao watakua Timu Moja Amechungulia na Anasema huenda meza ikapinduka kuanzia sasa Hawataki kukopwa 🙌
Babu wa Kigoma: Taarifa Zilizopo mmoja ameshakaa na Viongozi na Kupewa mstakabali wake Kuelekea Derby ya May 3. (
Derby Kuondoka na Mmoja Wao. ✅
Derby imeshikilia kibarua Cha mmoja Wao ✅⏭️
#babuwakigoma#perfumeworld
Babu wa Kigoma, Kuhusu Uwanja wa Kariakoo Derby 🙌 Ananipa uhakika huenda Derby ikachezwa Zanzibar 🙌✅
Uwepo wa Mvua Mikoa iliyopendekezwa ikashindikana , Kigoma, Arusha, Dar es salaam Tutaiona Zanzibar Derby
I can Confirm 😉😴
Babu wa Kigoma, Aniambie Hadi Muda huu ORUMA amesimamishwa kazi EFM 🙌
Baada ya EFM kumuambia Aomba Msamaha, Boss wa EFM amsimamisha kazi Mchambuzi wa mashtaka 🙌🇹🇿
I can Confirm Hayupo Kazini 🥊
Babu wa Kigoma, Aniambie Hadi Muda huu ORUMA amesimamishwa kazi EFM 🙌
Baada ya EFM kumuambia Aomba Msamaha, Boss wa EFM amsimamisha kazi Mchambuzi wa mashtaka 🙌🇹🇿
I can Confirm Hayupo Kazini 🥊