I Always keep motivated & inspired;
- one of the rewarding aspect of being pharmacist is the opportunity to impact people's life through improving their health and wellbeing. Seeing patients manage their conditions recovering ,simply feels me better.
Leo kitawaka mbaya kuanzia Sana 3:00 usiku nifollow Tu Mimi Tiktok ikifikika saa 3:00 utaona mjadara Rachel Dangwa ndani ya nyumba, Mange nae ndani ya nyumba.
Hapa hakikisha sauti ya simu yako inakuwa chini kwani GARI ikiwaka ni mwendo wa kumbakumba.
Sambaza Bango hili BONYEZA REPOST.
Nchimbi alikuwa anaonekana ni Jembe sana zamani
Unafanya vipi maridhiano na Watu mkiwa mmeshirikiani Vijana kwa Maelfu sababu za kijinga kijinga tu
Mnashambulia vyama mbadala , wanaharakati , vyombo vya habari na wananchi wenye maoni tofauti
Mmekataa kwamba hakuna Watanzania ameandamana na kuna watu wengi wameuwawa
Mnataka ridhiana kuhusu nini sasa ?
Wote hawa wamepigwa Risasi na Majeshi ya kukodi ya Samia na Mwanae Abdul
Hawa vijana wameuwawa kwa sababu zipi? Hiyo hiyo sababu mnasema ni wageni?
Mlivyo wajinga mnakamata watu wakitaka kwenda kuzika ndugu zao
Kama wamekufa watu wachache kwa nini kuna masharti ya kwenda kuzika watu wachache ?
Mnaogopa misiba ni mingi kila mtu ataweka msiba ndio maana mmeamua kukatalia miili kwa ujinga wenu mnafikiria hiyo ni kuficha
Hivi toka lini mtu anaweza uwawa kwenye mitaa yetu tusijue ?
Tundu Lissu: "Mimi siwezi kufanya mazungumzo na dikteta Samia. Nilimsihi asiuwe watu akakausha kichwa kama korosho. Sasa anapambana na WaZT, sio CHADEMA. Nitakaa gerezani. Kuzungumza naye ni kuwasaliti w/nchi wanaopigania uhuru wao."
Mapambano yaendelee. #MO29
JWTZ, kuna haja ya kuwa serious na kinachoendelea nchini. Haiwezekani raia wanaendelea kuuawa mitaani. Kwanini mko makambini wakati raia wanakufa, tena hata wasioandamana! JWTZ mnatakiwa kulinda hawa raia na kudhibiti wauaji. Taarifa zinasema mpaka watoto wanauawa. Tafadhali fanyeni jukumu lenu.
Jamani Dar es Salaam naona sasa watu wanasema waende Ikulu π
Mmepandisha hasira watu kwa kuuwa gizani! @SuluhuSamia huwezi kutuua alafu ukatuongoza!
Push push πΉπΏ
Huyu Mama asikae hata dakika moja ana Janjaweed yake
#Uchafuzi2025
Mkunda hakusikia Polepole akisema JPM aliuwawa?
Hakusikia tuhuma za wizi zinazofanywa na kina Angela Kizigha, Abdul na wezi wote walioiba mabillioni huo sio uharifu kwake?
Uharifu anaotakiwa kushughulika nao ni upi? Makonda je? Mafwele na Wambura?
Mkunda wewe sio msemaji wa Jeshi, miaka yote hatujawahi sikia CDF akiibuka na kuongea vitu havina kichwa wala miguu
Huyu ameshaona tumemshika pabaya shoga yake Samia anajaribu kutisha watu maana Wambura amesha feli,
Kesho tunatoka na tuko pazuri maana Mkunda amesema atakuwa mtaani kuzuia uharifu na tunatumaini atazuia mapolisi kufanya ushenzi