Hakuna wazee wakuda kama wale wenye kipindi cha ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ pale TBC.
Happy Independence Day, Tanzania! ๐น๐ฟ
Heri ya Uhuru to all our friends โ we fondly remember our 2โฃ0โฃ1โฃ9โฃ match against Simba SC and the warm welcome in Dar es Salaam.
Barua imetumwa tarehe 14, wewe umekuja kufungua email tarehe 15 halafu unajiliza mtandaoni. Halafu hebu tuwaulize, ina maana Zanzibar haifai kuandaa fainali ya CAF shirikisho? Yaani mnaichukuliaje Zanzibar? Kwamba mnaona hawastahili? Zanzibar sio Tanzania?
First year Wana mbwembwe sana yani slide 3 wanafanya discussion ๐๐
Ngoja tuone ila hawa chuo kikichanganya ndio wanakuaga wazima moto wazuri ๐๐