Je unamiliki duka rasmi la rejareja na ungependa kuletewa bidhaa mpaka dukani kwako kwa muda stahiki?
Basi ONDOA shaka, Phema Market ivi punde tutafika mtaani kwako kusambaza bidhaa zenye ubora kwa bei nafuu kabisa...#AgizanileteCHAP!#PhemaMarket#Shoptech#Delivery #
Ungana nasi wiki hii kwa kupost #MamaLisheAwarenessWeek kwa kuchangia mada hii.. Je wewe unawajua Mama Lishe wa mtaani kwako? Je unaona ni suluhisho gani inaweza kuwasaidi wakue kibiashara?
Hii wiki tuna-amplify hili kundi la wafanyabiashara wadogo ‘Mama Lishe’ na kuelezea mradi wetu unaolenga kuwasaidia hawa wafanyabiashara wadogo ili waweze kukua kiuchumi, kibiashara na kifedha!!
Phema Market inasimama kuunganisha wakulima wadogo na masoko imara nchini. Tunasupply Mama Lishe na bidhaa za kilimo zilizotolewa kutoka kwa wakulima wetu. Soko la wakulima!!#MamaLisheAwarenessWeek
Wauzaji wa mchele wanashauriwa kununua Mchele unaolimwa Tanzania kwa ajili ya kukuza uchumi na kuwaunga mkono wakulima wa Kitanzania. Mchele bora na wa bei nafuu unaolimwa kitanzania unapatikana #Phemamarket pekee.
#mchele#agizaniletechap
Sababu nyingine zinazofanya nchi hizi kuchagua mchele unaotoka bara la Asia ni pamoja na vizuizi visivyohusiana na Ushuru (Non-tarrif barriers) kama Teknolojia mbovu.
Tanzania ni nchi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoongoza katika kuzalisha na kutumia Mchele.
Tafiti zinaonyesha kwamba Gharama za usafirishaji wa mchele unaolimwa Tanzania zinasababisha Ongezeko la bei adi Asilimia hamsini hivyo kusababisha wanunuzi kutoka nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kama Kenya kununua mchele unaotoka bara la Asia.
"Biashara ya rejareja ni eneo” huu ni usemi wa wengi na una ukweli. Tunawashauri wafanyabiashara wa rejareja kufanya utafiti mzuri wa maeneo kabla hawajaanzisha biashara zao ili kuepuka hasara zinazoweza kujitokeza.
#dukatips#dondoozaduka#agizaniletechap#phemamarket
Wataalam wanasema, iwapo utaendelea kufanya kile ulichozoea kufanya basi utapata kile unachopata ndio maana Phema Market tumekuja kukutoa kwenye hali ya Mazoea.
Kupitia App yetu duka lako litakuwa kidijitali zaidi.
#phemamarket#agizaniletechap#techtuesday#techtz