And I think this is something you men in relationship should do.
If you have some millions in your accounts, show it to your girlfriend.
"Baby, this is my bank balance, I am thinking of what to do with it".
If she starts to bill you, you have not found your wife yet.
End.
@Gadikivike ...Watu na shughuli za kiuchumi ndo kitu kinacholeta maendeleo, lakin main source ya kufacilitate hayo maendeleo ni uongozi au serikali, mfano, Geita ni matajiri wa madini lakin maendeleo miundo mbinu ni adimu kwa sababu ya uongozi
@_Jmwita ...kama hauna sababu za msingi achana na mambo za kuoa saiv kula maisha kwanza! ! ila kama amekushika akili sawa! na sio kwamba uko pekeako kwake mnakula wengi
@master_plan6 ...mwanamke yupo kwako kwa sababu ni tegemezi! ikitokea umeanza kumuwezesha tu mfano kumfungulia biashara yake hapo moja kwa moja unaanza kumpoteza!
MPANDA: VIBANDA VYA MACHINGA VYABOMOLEWA SOKO LA KILIMAHEWA
Katavi, Mpanda machinga wadogo wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro. Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao? JIBU ni hapana.
MPANDA: VIBANDA VYA MACHINGA VYABOMOLEWA SOKO LA KILIMAHEWA
Katavi, Mpanda — Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo kujipatia kipato cha kila siku.
Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao?
#Mpanda #Katavi #Kilimahewa #Machinga #Tanzania