@mangekimambi Kwa kuongezea, huyu mbibi aliihamishia ofisi ya TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu, inakuwaje anamzuia asiwasilikize wananchi? They are all illegitimates but she is more evil.
@B2bMaestro An inverted centre-back is a defender who moves from the central defensive position into a wider or midfield position when his team has possession of the ball.
The question is Kagoma a CB to play invented?
@Alphabezo@MarekaMalili Wanatafuta kichaka Cha kujifichia, hii haikuwa inarudi nyuma, na meli sio gari kwamba irudi nyuma ghafla. Hii ilikuwa inaenda mbele (forward direction). Hii nchi imeharibika sana Kila mtu ni muongo tu
Rest in Peace baba, ulitubu kabla ya kifo chako. Ulihakikisha unaawacha Watanzania na ukweli kabla hujaenda.
Imagine ungekufa kabla ya ile interview kina Mange milele tungeishi watu waki tu doubt ila you cleared it kwa ushujaaa na ujasiri.
Uligoma kukutana na Mungu wako kabla hujaongea ukweli juu ya serikali hii inayofosi βmhainiβ aombe msamaha. Kumbe kesi ni ya kuomba msamaha tu. Sasa hiyo mahakama si inafanya uhuni tuu maana wamiliki wa mahakama wanataka kupigiwa magoti tu.