Fairplay. Watu wana furaha, hata Al Hilal wanafuraha. Kila mtu anaipenda Yanga SC. Al Hilal wamekabidhi jezi kwa Profesa Nabi kuonesha heshima. Yanga inaheshimika
๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐: Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa kocha mkuu Nasreddine Nabi amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kukinoa kikosi hicho mpaka 2024.
#KitengeSports