Mungu ni Baba yetu mwenye nyumba na sisi tu wapangaji hivyo ukiwa kwenye nyumba ya matatizo lazima atakupa funguo za mlango wa kutokea.
Falsafa za kichwa Panzi mwili Senene
*Usipitilize kupenda na usipitilize kuchukia ni muhimu kuweka akiba ya mapenzi yako na chuki zako maana yote hayo yanaweza kukusababishia fedheha siku moja.
"Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu" {Mathayo 6:14-15}.
Ni Rahisi kupendwa na Mungu sisi kumpenda Yeye, njia pekee ya kufanya ili kumpenda Mungu ni kuruhusu Mioyo yetu ijitoe kwake bila kujibakiza kwani kwake tuu ndipo mioyo yetu hutulizwa.