Ukiweza kujenga leo jenga na ukiweza kununua gari nunu ,
Usinunue boda boda kama chombo yako ya usafiri.
Pesa ya kununua boda wekeza ununue gari..
Boda boda ni High, ukiweza kuepuka kupanda piki piki achana nayo , kamwe usipande especial dsm.
Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kata ya Masekelo na Ndala Manispaa ya Shinyanga. Uzinduzi huo umeongozwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga @Ntobi_ na @MwitaJulius2000
@chapo255 Niliwahi vamiwa ndani na 3 people 1 alikuwa na a pistol, kaka mali kila kitu kinatafutwa nlikuwa mpole they took all they wanted na nimepata everythng and even More.
Tatizo kila mtu anataka kujifanya mbabe.
Ukai ukienda umeenda sio Jumanji ๐