@BracuszCadabra Huyu anagame ya fainali! Ulitaka kimkute kilichomkuta pacome aikose fainali? Vipi kuhusu kureserve energy kwa ajili ya game ya ya fainali?…..afu mbona hamhoji wachezaji wa simba waliopigwa benchi jana, nauku sababu zao na fei zinafanana. Usnitch
@Mikumifinest Boss kukiwa na ndoa imara isifikiri utapata tabia za ajabu kama ushoga n.k, project ya women empowerment nikansa kwa mataifa yanayoendelea sema tutaigundua tumechelewa sana…
Naomba Retweet Yako mkali.🙏🏼
▶️Wakali zangu kuna hizi Banzi za Grivelia zimejaa na zina uzito.
▶️Banzi zina urefu wa Futi 16.
▶️Bei Yake ni 3,000(Inapungua kidogo).
📍Rombo Tarakea Kibaoni.
Call/Whatsapp 0756946965
NB:Ni muuza mbao mwenye Degree ya UDOM hapa.😂
@Iconboetz31@Tenient_officer@mkemi4mkUu Tukikompere mafanikio kwa kigezo cha umri mbappe na halland wamemzidi messi akiwa na umri kama wao…kwa lugha nyenpesi nikwamba mbape na halland nibora kuliko ronaldo na messi
@Mghoshiwandima@mkemi4mkUu Mbappe ana uefa ngapi? Ronaldo anazo 6, mbappe ana balon d’or ngapi ronaldo anazo tano…. Unawezaje kumfananisha ronaldo na mbappe janja