The difference between Tanzania and the rest of the World,,,,,the guy in the overall tried to do something. He was stopped with gunshots. He didn't hesitate, just acted once he realized something is not right.
@PolycarpMDM Hapo ndio huwa wanasali viongozi wote wakuu wakatoliki,,,Niliwahi pata bahati ya kuwa UVIPO hapo na mchezaji wa Timu ya Kanisa kipindi flani. Mambo yalikuwa moto sana
@nuelolise That was Calafiori's mistake, not a foul at all.
He took a lot of time with the ball in his hands until it's too late. He then throw it in recklessly
@BillyTronix1 Vipi kuhusu Arteta kumchezesha Havertz dakika 94 wakati Gyokeres yuko benchi!?
Hili nadhani linahitaji mjadala serious kabisa π₯Ή.
Alafu anamwingiza Gyokeres dak ya 94 na kumtoa Ordegard na Madueke π€π₯΄
@CRemezo@Sativa255 Ile ni reverse ya ghafla, sio tatizo hata kidogo. Aliitoa meli kutoka forward propelled mode kwenda kwenye reverse ili kuzuia kuendelea kusukuma yale mawe na kasababisha uhalibifu zaidi.
@Innocen89950594 Kwa hiyo stori ipi ni ya kweli kwenye Biblia Takatifu?! Hata ile ya Musa na majeshi ya Farao nayo si iliua watu wengi tu !? Hata wana wa Israeli walikuwa wanaenda kwenye baadhi ya vita wanachapika vibaya kisa makosa yao dhidi ya Mungu.
Yaani unataka idadi ya watu ndio awe mwokozi