A Lecturer in Computer Science and a Ph.D. candidate. Passionate in UX/UI, FOSS, Big Data, ICT4D, Forensic & Cyber security, Programming, and Network security
@VodacomTanzania, nimekuwa nikifuatilia tatizo la internet ya nyumbani yangu ambayo haifanyi kazi kwa siku tatu mfululizo, licha ya kulipia. Licha ya kushuka kwa ubora wa huduma zenu,hili sikulijaratia. Tafadhali rudisha huduma au fusha malipo kwa mtoa huduma mwingine.
@AbuuSakiinah@Sirajitz1 “Mara nyingi tunapendelea kuzungumza kuhusu nadharia kuliko kushughulikia hali halisi. Hebu tufanye utafiti ili tuone ni asilimia ngapi ya watoto wanajielewa na ni asilimia ngapi hawajielewi. Katika muktadha wa utafiti, mimi huwa ninaangalia sababu kuu na si sababu zote.”
@Sirajitz1 Kwa kawaida, wanafunzi humaliza Form Four wakiwa bado wadogo sana. Kwenda diploma pia haipunguzi muda wa kupa bachelor degree. Unless unataka kutemtengeza kuanza kufanya low paying jobs mapema
@Sirajitz1 Huu mjadala umekuwa ukijirudia mara kwa mara. Kwa mawazo yangu, kwenda advance ni chaguo bora kwa sababu nyingi. Moja kubwa ni kumpa mtoto muda wa kujielewa zaidi, hasa katika kufanya maamuzi sahihi.
@EJ_Mwita Kwa mawazo yangu, utofauti wa fikra au mtazamo hautokani na kuwa na vyama vingi vya siasa. Hata kama vyama vingi vitafutwa au kuondolewa, bado tutaendelea kutofautiana katika mitazamo yetu.