Wengi hudhani kufikia hatua fulani ya maisha (Ndoa, kazi, cheo kipya, mafanikio nk) ni ushahidi wa mafanikio kamili. Wanaridhika kiroho na kupunguza sala. Lakini ukweli ni kwamba NEEMA inayohitajika kudumisha ngazi mpya uliyofikia ni kubwa zaidi kuliko iliyohitajika kuifikia.
Mafuta yanayotumika nchini yaliingia Nchini mwezi wa tatu kwa bei ya chini kabla ya vita..
Katibu mkuu wa Wazira aliwambia Watanzania kuna mafuta kwenye Akiba yetu ya kutumika Mpaka mwezi wa saba .
Kwanini mafuta yameongezwa bei na kwanini Watanzania waumizwe kwa ufisadi huu.