Moja ya maneno ambayo sikuyaelewa katika utoto wangu lakini sahivi nimeelewa ni pale wakubwa waliponambia nikiwa nakula nisiongee... pale walimaanisha maisha so katika kila ulifanyaloo nyamaza mpaka litimie. #ufahamu#NbR✌🏿
Ikifika point katika mahusiano yako ukawa unashidwa kupost baadhi ya vitu sababu ya mwenzako... jua unampenda sana na hutaki akwazike sababu ya yale unatakayo yapost.. so ukiona hayana maana acha sababu akiumia wewe ndo utaumia zaidi #NbR✌️
Hata kama huna kazi usikae nyumbani muda vaa vizuri toka nenda town katembee huko mda wa kula mchana ukifika rudi nyumbani ukimaliza oga nenda kazurure tuh huko mpaka jioni urudi kwenu mguu wa kutoka una baraka sana 😎
Nafikiri hakuna mtu anae nijua....
Watu wengi ukiwauliza mimi ni nani watakuelezea kuhusiana na yale nayo yafanya kila siku wanasahau nayo yafanya ni dunia inataka nifanye au mihangaiko ya hapa na pale lakini yule si MIMI.#NbR✌️