Mchungaji wa Mtaa wa Kinyerezi Maotola Lumbe amesema Mkutano ya Kurejea Nyumbani itakuwa ya Mafanikio kwa Sababu kanisa linaomba na kufunga kwa ajili ya huduma inayoendelea.
Alisema maneno hayo Katika siku ya Uzinduzi,Leo,Julai 08 ni Siku ya Pili ya Mkutano huo.
AMEPOTEA AMEPOTEA. AMEPOTEA
Anaitwa ABDALA MAKUKA ana miaka 31 UR ni FT 5.8 mwenyeji wa Iringa tangu apotee ana siku ya tatu Leo hajulikani alipo msaada familia inalia kumtafuta kijana wao.
NAOMBA RT YAKO KIJANA APATIKANE
@julip202 Kama ni kweli amefanyiwa hivyo huyu ndugu,,, asikate tamaa. Bado ana nafasi ya kusahihisha mambo yake. Kwani kujiua siyo vizuri... Nakushauli uache mipango ya kujiua ufikilie Tumaini kutoka Kwa Mungu
Matendo ya Mitume 3
19 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe,
Adventist young people and adults took to the streets of Lautoka holding banners inviting people to a Fiji-wide combined worship service at Lautoka’s Churchill Park on May 17 and 18.
https://t.co/ib8M1jIjy1
We are living amid the perils of the last days. The wrath of God is preparing to come upon all the cities—not all at once but one after another. And if the terrible punishment in one city does not cause the inhabitants of other cities to be afraid and seek repentance, their time will come. - 17LtMs, Ms 233, 1902, par. 4
https://t.co/sGB7LLYvzm
Are you a young lady? Are you a woman? You certainly don't want to miss this.
Calendar this on your e-device or a notebook, and wait to have "your unforgettable two hours"! Remember, it's this Sunday, 17 March 2024 from 0800 to 1000 HRS.
#ChuoKikuuSDA
God does not tolerate sin, but, in His mercy, only He can deal with the issue of sin.
Watch the full episode of Bible HelpDesk to dive deeper through Bible study. Catch the replay of this episode this Friday at 8 pm ET and Saturday at 4:30 pm ET. Link in our bio.
Mshukuruni Bwana, kwa kuwa Fadhili zake ni za Milele, Ungana nasi Asubuhi hii katika kipindi cha Anza Na Bwana, Shiriki baraka za Neno la Nguvu toka Kwa Mtumishi @adam_nyando
https://t.co/3gQdhFwlUL
Karibu tena leo siku ya 15/365, Mungu akujaalie kufikia mafanikio yako ya siku ya leo, Anza na Bwana katika kila hatua yako ya maisha.
https://t.co/pMeBbHWu7i
After hearing Peter’s Spirit-filled sermon on the Day of Pentecost, the people asked what they should do. Peter replied, ���Repent. . .and be baptized” (Acts 2:38, KJV).
@HauleBeka192475@mshambuliaji Kuna kitabu kinaitwa PAMBANO KUU
kinaelezea sili ya mambo yote hayo
Kwa maelezo zaidi waweza kuniwatsapp Kwa 0746622163,
Note: siyo biashala nitakutumia bule kabisa
@JeanUwizeyimana@mshambuliaji Kwa ufupi ni SHETANI
Ufunuo wa Yohana 13:5 Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili.
UKITAKA KUJIFUNZA ZAIDI JUU YA HAYO....
Whatsapp, 0746622163
Karibu.....