SIMU ZA MEZANI MPYA
>Zinatumia laini mitandao yote.
>Unapokea simu na messages
>Zinakamata network ata zile sehemu ngumu kupata mtandao
Gharama yake 65,000/= TU
0747625726.
Les wanyika-Kasuku
Les wanyika-Amigo
Les wanyika-Barua
Les wanyika-Sina makosa
Mbaraka mwishee-mtaa wa saba
Samba mapangala-Dunia Tunapita
King Kikii-Kitambaa cheupe
DDC mlimani-Neema
Mshikaji ambae hajawahi shiriki katika zoezi la utoaji MIMBA.
Pamoja na Mdada ambae hajawahi toa MIMBA.
Watuongoze kwa Maombi ya kuifungua week sasa.
GOOD MORNING wakubwa 👊🏾
Siku za wikiendi saa 12 asubuhi tu tayari usingizi umeisha na hapo ulilala saa ngoma tisa usiku, ila ifike jumatatu sasa hata kama jana yake ulilala saa mbili usiku lakini kuamka ni Ntinti
😂😂😂😆
@DullahTheking2 Yule mzee alivotoka kwenye nyimbo zake za taratibu akaletwa Kwenye Midundo ya Pitbul Hasira zilikua Nyingi Mno
Kile kiitikio aliua Sana (Rain over Me) 🔥
Business Ideas zenye mtaji wa kuanzia 300k-1M, ambayo haihitaji usimamizi sana, unaweza kuokota 10-20k per day, isiwe na operation costs tofauti na mtu mmoja tuu wa kusimamia.