@Adventure_36 Naaam ila ni simple sana Deed poll ni kukana jina(hana mpango wa kulitumia tena) ila affidavit ni kuapa kwamba jina flan na jna flani yote ni ya mtumiaji moja(hii inatokea kwamba mtu kwnye vyeti majina yapo tofauti(
@Adventure_36 Shetani ana majaribu mengi sana kwa binadamu ili tuingie kwnye mtego wa kutenda dhambi, anatumia majarbu madogo madogo ili atutoe kwenye imani
Accordng to me nmejifunza ivi🔨