People should know i am a retired lawyer using anonymous account to share my opinions and some times facts. I am a teacher to many, teaching Law to youngsters, sales, human resources managing, marketing and social awareness. I want stable teens and with undriven minds.🇹🇿
@Thommunkondya Kaa kimya tu. Hata kuwa PM lissu bado sana. Lissu anafaa kuwa mmiliki wa NGO ya kiharakati. Wengi wapo kwenye maghorofa pale paris au marekani kule wanakaa juu kabisa ya appartments. Wanaendesha harakati. Lissu hawezi kuwa kiongozi wa nchi. Kuitwa kijana mpambanaji kunakupumbaza
@Sativa255 Hizo pesa m68, si ndio nyie huwa mnatuonyesha na kina zagy mkiwa mnazibet au? Zinatisha nini sasa. Wakati nyie tu mnabetia, mara mnampa ney na madeleka au? Wambura kwake kesi sio?
@Lecoubusier@MarekaMalili Unamjua baba levo. Au unamuona ni mtu tu wa hovyo. Kashawahi kuwa diwani huyo akafanya makubwa. Ww mwenye akili hadi sasa umefanya nini. Kama unamuona mwenzako ni mpuuzi na kichekesho
@lwaitama1 Ni sawa, si kipindi cha kutoa ile baki uliyonayo, kwa wananchi uliowachagua, na kuwapa sera za kurudi bungeni kuendelea na harakati. Sio vibaya. Na si hongo hiyo.
@Akili73945257@DevotaMinja Sasa mbona kada ya sheria wameitaja mara 2.
Alafu unadhani kila mtu lazma apite jela ndio awe mwanaume. Mtoto kula nyama nyamaza
@gobore2018 Hili hata mimi nakueleza. Hiyo ni kama sensa. Kutambua wanachama wao kama wamepata kadi za upigaji kura, kuboresha mikakati ya kampeni, ushiriki wa wanachama katika election,kuzuia udanganyifu wa kura. Sasa waambie wenzako, walielie, wakati hiko chama kinapambana kuatfta kura.
@Sativa255 UMEMTUKANA, UMEMDHIHAKI MADELEKA THE WHOLE DAY. KAKUPA JIBU MOJA TU, DAMU IMETOKA MPAKA PUANI KENGE WEWE, UNAANZA KULETA NA KUOMBA HURUMA YA COMMENTS, TUONE MADELEKA KAKOSEA KUKWAMBIA HIVO.
Motherfucker fuck you bitch. Kuweni na heshima maamuzi ni yao wabaki au waondoke.