@Thommunkondya Design zilifanywa na consultancy wa nje. Tukubali tu uwezo wa local architects ni mdogo kulinganisha na nje. Kama tunataka majengo mazur kuwe na competition ya majeng maalm ya ki serikali tuache kutoa tu tender kwa Suma, ardhi, udsm, NHC etc wao tu wa design
@007roog@mangekimambi Acha kuwa mlaini kama kila mtu angekuwa na upole wako huo hii dunian isingekuwa ni sehemu salama kabisa. Dai haki, unapoona uonevu usiogope kukaa kimya. Kifo kipo tu kwa kila mtu.
@Kilwafinest Serikal ya Samia imewe inatafuta UVVCCM wanaojua kujibu na kupangua hoja . Sasa ww ulichoandika ni nini? Inaonyesha jinsi ulivo na weak na poor thinking. Acha kujiaibisha. Halfj badae wanakulipa hela mtu kama ww.
@Kariakoo_ Simple explanation ni kwamba demand ni kubwa supply ni ndogo..kwaio bei wanajipangia wanavotaka. Serikali yako ikiongeza tija kwenye uvunaji wa samaki ulio wa kisasa basi bei itashuka tu maana samak watakuwa wengi.
@askariwahovyo We ni engineer bhana unaanzaje kufuatilia wanawake wa kina bonge la dada. Ma eng mnatuangusha, kwa mwendo huu hii nchi tutaijenga kweli? Leta mada ambazo zinaendana na professional yako, achana na umbeya.
@Mpogomi08@winstone_nnko Shoprite walikuwepo Zambia way before hawajaja Tz. Dar ina kariakoo na masoko mengi yenye natural food. Watu hawajazoea vitu vya supermarket sio utamaduni wetu sana. Miaka ya hv karibun kuna mabadiliko nahisi wakija tena wanawez kuuza.
@Getrude_mollel Si ulete uthibitisho ili washtakiwa kijana. Serikali ya Samia na Bakwata isipende kweli kuona kanisa katoliki linashtakiwa na chuki zote walizonazo na Katoliki, yanj wakae kimya na ww una ushahid? 😀😀
@Jaguar_455 Ila UVCCM sahv mmeanza kusema tena ni mpiga umbea sio tena mchochezi wa maandamo ya 28, sio aliechochea wananch kususia wasanii, sio alieua wananchi tarh 28..sahv ni mmbea tu.
@_zack255 Mzee si mumfungulie kesi mahakamani. Na mnavopendaga ma kesi kama ni kweli asingeweza kuwepo uraiani adi sasa. Bro hatudanganyiki tena that ship has sailed.