@MariaSTsehai Kila nchi ina haki ya kuitumia rasilimali yake kwa njia inayoona inaleta faida kubwa zaidi. Kama mwekezaji ana uwezo wa kiteknolojia na kifedha, mkataba hupitiwa kwa kuzingatia faida kwa wananchi wa Tanzania, siyo kwa kuzingatia hisia za mataifa ya nje.
@MariaSTsehai Dada rudi bongo tu uje upinge umbea maana hizi nia hadithi za alinacha embu tuache basi tujenge uchumi wetu maana kila siku unakuja na hadithi mpya na ya uchochezi
@MO29TV Uongozi unahitaji busara, staha, na uwezo wa kudhibiti hisia, hasa unapozungumzia mambo mazito ya kitaifa. Wafuasi wanategemea kuona viongozi wao wakionyesha njia ya kuponya jamii, siyo kupandikiza chuki na lugha za kichochezi
@lifeofmshaba Huko Kenya ulipo mvua kama hizi zimenyesha wameleta chopa? Hayo ni mafuriko na hamna mtu anapanga na jambo Hilo sio kubwa kihvo kana kwamba watu wamekwama kabisa hawezi kutoka hapo wanasubiria mvua itulie acha kelele
@JamiiForums Askofu umesema ukwl hao BAWACHA wanachokifanya sio sahihi kujaribu kufanya kanisa katoliki kama puppet wao ili kuonesha Raisi Samia ana udini sio sawa kabisa
@MachumuKadutu Reality hamna kitu kinaichoitwa damu ya watu inakulilia hizo ni Imani ambazo tumepewa na wakoloni na ndio silaha Yao wanayoitumia damu imemwagwa sana kwny biblia na yote yamebaki kama historia cha msingi hapa ni kuamka na kufanya kazi yaliopita si ndwele
@MariaSTsehai Kwanza nikusaidie madini ndio sio swala la muungano maanake mapato yote yanayotokana na madini ya Tanzania Bara ni ya Tanzania Bara tu na madini ya Zanzibar ni ya serikali ya Zanzibar tu so kila mtu anakula kwa urefu wa kwamba yake hamna mgawanyo wa 50-50 Hilo likae akili mwako
@MariaSTsehai Wanaharakati wakiwa wanashindwa matusi hutawala ushaanza kutukana nchi yetu haya mama ww mwny akili si upo mamtoni huko ya Tz yanakuhusu nn si umeshapata achana na ss
@MariaSTsehai Tatizo hujui kaziyq migambo ndio maana unabwatuka migambo wanatumika kuimarisha ulinzi especially sehemu zile ambazo jeshi la polisi halina kituo na ni ndichi