Propaganda doesn’t shout.
It whispers.
It arrives in a way that you can’t distinguish from the truth
Modern propaganda isn’t posters, TV shows or radio.
It’s algorithms
It’s influencers
It’s selective outrage, controlled leaks, edited clips and emotional triggers designed to guide your thoughts without you realizing
You are not told what to think. Instead You’re shown what to feel.
HOW TO REPRESENT JESUS IN WORKPLACE
1. Don’t Complain
2. Watch your Language
3. Operate with Integrity
4. Encourage others
5. Pray for those you work with
6. Shut down Gossip or walk away
7. In everything you do, do it as worship
Amen.
“Ishara zake ni kubwa kama nini! Na maajabu yake yana uweza kama nini! Ufalme wake ni ufalme wa milele; na mamlaka yake ni ya kizazi hata kizazi.”
Dan 4:3
Nebukadreza akanena akasema, Na ahimidiwe Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika wake, akawaokoa watumishi wake waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasimtumikie mungu mwingine, wala kumwabudu, ila Mungu wao wenyewe.
Dan 3:28
Usiogope! Bado Mungu anakuwazia mema
“Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.”
Yeremia 29:11
Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
Mt 6:25
Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema Bwana, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo.
Yeremia 29:11