Dear @LarryMadowo @CNN here is a “dead man” sitting in a morgue when you were filming your propaganda on Tanzania. Your Excellency @SuluhuSamia, October 29 and this CNN propaganda are foreign paid attacks. We are collecting every piece of evidence.
@Meku_255 Jamaa yuko vizuri, ndio maana anatimiza lengo alilodhamiria. Habari zake zimeegemea upande mmoja, upande ambao wasio taka amani wanapenda kuusikia, akimaliza kazi yake, kazi itakua kwetu kujenga Tanzania mpya (Kazi ngumu sana kama ilivyo kwa watu Libya).
This is the part Larry Madowo and CNN won’t show you organised goons engaging in violence, looting and destruction of property.
It wasn’t a demonstration it was pure vandalism.
#CNNBias#DisinformationNetwork
@Sativa255 Kha! Rasta unapambana kichizi kuhakikisha nchi inaingia kwenye machafuko. Unahakikisha kaka na dada zako wakose chakula kwa manufaa yako, unahakika kiasi gani kwamba mtazamo wako juu ya hali ya mambo TZ uko sawa? au ndio muda umefika wa KE kukutumia.
𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐌𝐙𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐉𝐔𝐌𝐁𝐄 𝐌𝐀𝐀𝐋𝐔𝐌 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐖𝐀 𝐃𝐉𝐈𝐁𝐎𝐔𝐓𝐈
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Mhe. Ismail Omar Guelleh ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Mahmoud Ali Youssouf Ikulu Jijini Dar es Salaam.
#MamaYukoKazini
𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐈𝐓𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐄𝐊𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐈𝐍𝐆𝐈𝐑𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐔𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐁𝐈𝐀𝐒𝐇𝐀𝐑𝐀
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya utoaji Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kuwawekea wafanyabishara mazingira mazuri ya kufanya biashara ili kukuza ajira kwa wananchi na kuongeza mapato ya Serikali.
#MamaYukoKazini
𝐖𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐒𝐇𝐈/𝐖𝐀𝐓𝐄𝐍𝐃𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐓𝐑𝐀 𝐋𝐀𝐙𝐈𝐌𝐀 𝐌𝐅𝐀𝐍𝐘𝐄 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐀𝐃𝐈𝐋��𝐅𝐔
"Watumishi na watendaji wa TRA ni lazima mfanye kazi kwa uadilifu ili kudumisha mafanikio yaliyopo na kuleta mafanikio zaidi. Lazima Kamishna Mkuu usimamie usawa katika kulipa kodi na kuchukua hatua za haraka kwa watumishi wachache wanaotengeneza mazingira ya kutokuwa na usawa katika kulipa kodi nchini." - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
#MamaYukoKazini
𝐔𝐊𝐖𝐄𝐏𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐊𝐎𝐃𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐂𝐇𝐄𝐋𝐄𝐖𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐎 ��𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈
Wito wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wafanyabiashara kuacha kukwepa kodi kwani kufanya hivyo kunachelewesha maendeleo ya nchi na kuzorotesha utoaji wa huduma muhimu za kijamii.
#MamaYukoKazini
Serikali ya Wilaya ya Kilosa imetenga zaidi ya bilioni 1.2 kwa ajili ya mikopo isiyo na riba inayolenga vikundi maalum, ikiwemo wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu.
Sh. Milioni 547 zimeidhinishwa kwa vikundi 60 vilivyokidhi vigezo vya kupokea mikopo hiyo.
#Mamayukokazini
Serikali ipo kwenye hatua ya manunuzi ili kuhakikisha Mkoa wa Arusha unapata mashine ya MRI ikiwa ni utekelezaji wa serikali katika kuimarisha huduma za kiafya na matibabu kwenye maeneo mbalimbali ya Kimkakati Tanzania.
#MamaYukoKazini#MamaAnafanikisha
Uwekezaji uliofanyika katika bandari ya Dar es Salaam umeanza kulipa.
Hivi sasa, makadirio ya mapato yanayokusanywa kwa mwaka ni shilingi trilioni 10.
#MamaAnafanikisha#mamayukokazini
UAGIZAJI BIDHAA NA HUDUMA UMEPUNGUA
Thamani ya bidhaa na huduma zilizoagizwa kutoka nje ilipungua kwa asilimia 5.6 na kufikia dola za Marekani milioni 16,027.0.
Haya ni matokeo ya uwekezaji wa ndani unaolenga kupunguza uagizaji wa bidhaa nje ya nchi.
#MamaYukoKazini
BEI YA UFUTA NI KICHEKO KWA WAKULIMA
Mwaka 2023: Shilingi 3,600 kwa kilo
mwaka 2024: Shilingi 4,850 kwa kilo
Sera ya kilimo biashara inatekelezwa vyema kwa kuhakikisha soko ni la uhakika na bei zinamnufaisha mkulima.
#MamaYukoKazini
Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikisha ujenzi wa jengo la utawala katika halmashauri ya wilaya ya Mufindi kwa gharama ya shilingi Bilioni 2.7
Lengo ni kuboresha mazingira ya kazi na utoaji huduma kwa wananchi.
#MamaYukoKazini