Hivi hawa ma dogo wanapiga mpira haswa hua wanaishia wapi wengi wao?? Naona vipaji kwenye mechi ya zenji ila senior team hupata wachache π€·πΌββοΈ @Tanfootball
Kwa mara ya kwanza kabisa, timu mbili za Tanzania kufuzu robo fainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC πΉπΏβοΈ
Mafanikio makubwa kwa soka la Tanzania π