@AbroadTanzania acha uongo, je wana mikataba ya kijeshi waliyoingia kama NATO, tatizo hujui dunia inavyoendeshwa hata kama wangekuwa na mikataba tayari maduro kasalitiwa na watu wake wa ndani kama bashir al assad wa syria alivyofanyiwa
@martinimsele3@tonymaster01 huwezi kumnyakua rais kirahisi hata wa nchi ndogo kama zanzibar bila kuwa na mtu wa ndani aliyefanikisha upelelezi utawezaje kuijua tanzania bila kuwa na mtu wa ndani anayekupa taarifa, ingekuwa rahisi hivyo PUTIN angekuwa kashanyakuliwa zamani mana ndiye adui namba 1 wa USA
@AMjungu25546@tonymaster01 bila rushwa huwezi kumchukua raisi kirahisi hivyo, rejea TOMAS SANKARA, alisalitiwa,SADAM alisalitiwa , GADAFI nae alisalitiwa, TRAORE nae kila siku wanawahonga watu wake wa karibu ili wamkamate, kumbuka USA ilitenga $50mil kwa atayefanikisha kukamatwa kwa maduro