Watumishi wa Kanisa la kwanza wakakusanyika kufunga na kuomba katikati ya ibada Roho Mtakatifu akasema nitengeeni Paulo na Barnaba kwa kazi niliyowaitia. Roho Mtakatifu ndiye boss wa Kanisa kwa sasa hapa Duniani. Ndiye anayetoa majukumu na assignments za Injili. Jifunze kumtegemea. Jifunze kumsikiliza, ndiye mwenye kazi. Ndiye anajua jinsi gani inafanyika soma, jinsi alivyowaongoza kwenye kazi yake. Huwezi kufanikiwa huduma bila kufanya kazi na Roho Mtakatifu.
Neno la Mungu likijaa ndani yako litakusaidia kuhukumu kulingana na taarifa zilizojaa ndani yako. Ukienda kwa daktari atakuangalia na kulingana na taaarifa alizokusanya shule, atatoa judgement. Ukienda kwa Engineer kadhalika. Kila mtu kutokana na taarifa zilizopo ndani ya nafsi yake. Unataka kuona mambo kibliblia na kiroho taarifa kutoka kwenye Neno la Mungu ni muhimu sana. Itakubadilishia unavyopokea, unavyoona na unavyotazama mambo.
MUNGU anapotaka kukuinua,
1. Anakutenga na kelele za dunia ili umsikie vizuri.
2. Anakupitisha kwenye majaribu ili ujitambue nguvu zako.
3. Anakunyang’anya baadhi ya vitu ili ujue thamani ya vilivyobaki.
4. Anakunyamazisha ili hekima izungumze ndani yako.
Usikate tamaa
lazima kuwe kuna kitu unakiamini. wazo fulani linakufikirisha. tunu fulani unaweza kusaidia kufikiwa kwake. principle fulani you can live by. kuwa binadamu, usiwe mbuzi. draw a line. have a fucking spine. hivi ndiyo vitu at least nimejifunza kwenye maisha ya mtei, rest in peace!
Yesu anakupenda anza mwaka na kumjua yeye. Tubu dhambi zako mpokee moyoni mwako. Utakuwa umeanza safari na Yesu. Utakuwa umeanzisha mahusiano yako na Mungu. Anza mwaka na Mungu. Njoo kwa Yesu.
Yeremia 33:3
Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Mithali 16:3
Mkabidhi BWANA kazi zako,
Na mawazo yako yatathibitika.
Yeremia 29:11
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya,...
@IamGibrim@Balyx_ Addition,
1. Wabunge wa viti maalum waondolewe.
2.Tuwe na serikali tatu.
3. Wakuu wa mikoa na wilaya waondolewe au wapigiwe kura na wananchi.
4. Sheria za uchaguzi ziwe neutral.
5. Tuwe na wagombea binafsi wasiofungwa na vyama vya siasa.