Wanawake hufanya mapenzi na Wanaume wanaowataka, na Wanaume hufanya mapenzi na Wanawake wanaopatikana. Mwisho Wanaume huoa Wanawake wanaowataka, na Wanawake huolewa na Wanaume wanaopatikana!
Its your choise!
Kitu nachojua Africa Mapinduzi yatakua mengi sana ndani ya miaka 7 hii kuanzia sasa...
Africa mashariki wa kwanza kuliwa kichwa atakua Museven...kisha tutafata.
There are only three choices:
1️⃣ Leave this country.
2️⃣ Stop the incitement, destruction of property, and burning of infrastructure.
3️⃣ Or be ready to face the full consequences of your actions.
Historia ipo hivi
Ardhi ilikuwa mali ya TANESCO.
Baadaye TANESCO iliachana na matumizi ya eneo hilo, likahamishiwa kwa wizara husika (ardhi) kama mali ya serikali.
BAKWATA/Muslim Development Foundation (MDF) waliomba eneo kwa ajili ya kuanzisha chuo cha elimu ya juu.
(Mkapa) Serikali iliidhinisha ombi hilo kupitia taratibu za kawaida, kama ilivyowahi kuidhinisha ardhi au majengo kwa taasisi za Kikristo kuanzisha vyuo, hospitali au shule.
Utakuta Shekhe hata hajui kuwa eneo la Muslim University of Morogoro (MUM) lasasa, 2004 Rais Mkapa(Serikali) iliwapa bure Muslim Development Foundation (MDF) kabla ya hapo lilikuwa ni kituo cha mafunzo cha TANESCO nia ku-stimulate and support Muslim efforts in higher education.
Huko Mbalizi, Mbeya wananchi wamekaa miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Wengine wanalalamika wamekuwa wakinunua maji dumu kwa shilingi 500.
Noma sana!
Kusema Gen Z hawana akili ni ushahidi kuwa hoja zako zimepitwa na wakati kuliko teknolojia unayoikosoa. Ukiona dunia inasonga na wewe umesimama, tatizo si dunia
It’s obvious you’re not speaking from your own mind.
Every word you push sounds like it was drafted to impress whoever holds the power, not to stand on truth.
Unajua kuhesabu votes za Tanzania nzima kijiji mpaka kijiji bila Mtandao ni ngumu sana kumaliza kwa siku 2.
Lakini tunajua mikoa mingapi watu waliandamana right?
Kwa taratibu zilizopo lazima kila maiti au mgonjwa kwenye mahospital huwa anaandikishwa so data zipo hospital.
Sio kitu cha kuchukua hata mwezi but trust me hio tume yenu itakuja na majibu ambayo data zitapikwa sana na kuna uwezekano hata hio tume isitupe majibu kabisa.
Tumesha wazoea na sasa ni watu hatutak kuishi huko tena
Kipindi hiki hata kauli za kejeli na za kijinga kama hizi zitaonekana ni za maana sana. Unawezaje kulinganisha zoezi la hesabu la kawaida na zoezi linalo hitaji ukusanyaji ushahidi,kuhoji watu,kufatilia madai yote na kuchambua taarifa zote ili utoe hitimisho. Kwamba tume ipige simu siku moja maeneo yote na watoe hitimisho siku moja.? Ndiyo mlijifunza hivyo huko mlikosoma.? Unaweza kuilamu serikali moja kwa moja bila kejeli za kijinga mbona.
@GeorgeJob14@MiriamMkanaka@bonifacejoseph_ Sasa kama huna mamlaka ya kumzuia why umemwambia hayo maneno?
Trust me kuna Siku ipo siku utapata changamoto ila kuna mtu tu atapaza sauti kwa ajili yako. Nakuombea kwa Mungu usipate na mabaya yoyote mbele ya Gen z